Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kwa sababu bei ya mtungi wa gas Cuba si sahihi na anavyotamka yeye lengo lake analenga kushawishi siasa za kijinga 1. Bei ya gesi Cuba sio TZS 2,000/= kwa mtungi wa kilo 20. Hiyo bei...
0 Reactions
3 Replies
335 Views
Wakuu, Huyu angekuwa hataki kuchora picha angeacha hata Haiwezekani amchore hivi Rais wetu ambaye ameleta maendeleo kwenye nchi hii kwa kiwango cha kushangaza Sijapenda na nimeumia sana. Huyu...
0 Reactions
1 Replies
480 Views
𝗧𝗔𝗔𝗥𝗜𝗙𝗔 𝗭𝗜𝗪𝗔𝗙𝗜𝗞𝗜𝗘 𝗣𝗢𝗣𝗢𝗧𝗘 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗣𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗖𝗖𝗠 𝗡𝗜 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗗𝗔𝗜𝗠𝗔 Hayo sio maneno tu ya msanii Alikiba bali ameyanukuu kutoka kwa Wanachama, Wapenzi, Mashabiki na Wadau mbalimbali wa Chama Cha...
0 Reactions
1 Replies
283 Views
Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukweli ni kwamba There is no free lunch in Africa. Kwa kuzingatia hili, hebu tujiulize hawa wafanyabiashara walioichangia CCM mabilioni ya...
10 Reactions
70 Replies
3K Views
ACT Wazalendo ni chama sindikizi. Hiki chama hakitaweza kuongoza dola kwasababu kinategemea dola hiyo hiyo na viongozi wa chama nao maisha yao wanategemea dola. Hawataweza kudai vizuri mabadiliko...
0 Reactions
7 Replies
393 Views
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Lindi mjini, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi, Bw. Homoratus Daud, amezindua katika kampeni ya Ubunge...
2 Reactions
1 Replies
261 Views
Kuna Habari za ndani zinasema mfadhili mkuu wa ACT wazalendo na mtu aliyemshawishi Zitto kuondoka chadema ili chadema ife baada ya vikao kadhaa ni Rostam Azziz. Je inawezekana ndio sababu ya...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Mgombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu wa Otoba 29, 2025, Dk. Samia Suluhu Hassan, atapigiwa kura...
0 Reactions
9 Replies
560 Views
Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, akiwa Vwawa, Songwe, Sept 3, 2025 ameisifa Tanzania kuwa kinara wa Uzalishaji mahindi. Ndani ya nchi watanzania wanazalisha zaidi mahindi ikifuatiwa na mpunga...
1 Reactions
0 Replies
452 Views
Wakati wewe unaimbishwa wimbo wa "OKTOBA TUNATIKI" mnao waimbia wako busy kujiwekeza kiuchumi wao na watoto wao pamoja na familia zao kwa ujumla kupiti mgongo wa ninyi mnao imbishwa huo wimbo...
1 Reactions
3 Replies
338 Views
By the way kila Binadamu ana ukichaa fulani ndio sababu hata Adam mwenyewe alilishwa na Hawa kwa ushirika wa shetani lile tunda ambalo Mungu wa mbinguni alimkataza asilile na atakapokula atakufa...
3 Reactions
4 Replies
318 Views
Mashekh wetu wao wana Mchango gani kuhusu nchi yetu.? Ni nadra Sana umkute Shekh anapambania mambo ya msingi ya nchi . Inawezekana Mashek ni rahisi kutekwa na wanasiasa. hii inaweza kuchangiwa...
0 Reactions
10 Replies
510 Views
Ruto kampa live Samia kuhusu maandamano Niongezee hili la imani Mwanzo 9:6 BHND Share Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Ukiwa huku mtaani Vijana wa CCM wanadhani Chama chao ndicho "Chama Tawala". Chama kama taasisi haiishii tu kwa watu, bali Ilani, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya chama, kisha Wanachama na...
11 Reactions
25 Replies
1K Views
Siku Moja baada ya mgombea mwenza wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kutoa kauli ya 'kumtaka' Luhaga Mpina kurejea kwenye chama hicho kutoka ACT Wazalendo aliko hivi sasa, Mpina amesema vigogo wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Naam.....sio kwa kauli yangu bali ya kwake Lema Mwenyewe. ===== Lema: Magufuli alipoondoka tu nikampigia Rais Kikwete simu, nikamwambia mheshimiwa mwendazake kashatembea, ongea na mama mimi...
8 Reactions
183 Replies
16K Views
Wakuu Nimepitia page ya mange kiukwel kama mtanzania mzalendo nafsi inaniuma sana yn watu wanajikusanyia ukwasi wa hali ya juu Watanzania wanateseka barabara mbovu,hospital hakuna dawa,usafiri...
4 Reactions
6 Replies
470 Views
Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa...
1 Reactions
5 Replies
424 Views
Happy Wednesday Guys, Niende kwenye Mada Kwa ufupi (remember this article is full of figures of speech for a purpose) Nimewaza kwa kina sana tena sana kuhusu hiki kikundi cha Utekaji na Kuua -...
1 Reactions
3 Replies
450 Views
Tajiri Rosti akiwa na madaktari wawili akitaka kuongea ghafla mahojiano yakaota mbawa,nini Maana yake!!?
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom