DOKEZO Wanafunzi wasishiriki siasa za Uchaguzi

DOKEZO Wanafunzi wasishiriki siasa za Uchaguzi

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mdau wa jamii forum ,kero yangu baadhi ya wanasiasa waache vitendo vya kuwachukua wanafunzi kwenye kampeni za uchaguzi serikali ikemee matendo hayo haijalishi chama gani kinafanya matendo hayo kwasababu wanazorotesha masomo yao na kinyume na sheria na hii video inayosamba mitandaon wachukulie hatua waliofanya kitendo hichi

View attachment 3464223
Mabinti zetu hawa wa Allah, ina maana gani sasa kuwatia dhambi watoto wakiwa ndani ya HIJAB? Hii haikubaliki kabisa, ACHENI ushetani nyie CCM
 
Hii mambo itakuja kuwagharimu sana... Hasa likitokea janga..

Na naombea litokee.
 
Wanaharibu wenyewe halafu wanasema wanataka kulinda maadili ya watanzania haya endeleeni kuwaongeza umalaya wakufungwa miaka 30 tupo
 
Back
Top Bottom