Nini kipo nyuma ya misaada ya kukabiliana na COVID-19 anayoendelea kutoa Rostam Aziz?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,537
4,516
Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ

Anamwaga pesa mno. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN.

Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la sindano.

Na unaiona misaada mingi inapelekwa sehemu zisizo stahili ambazo kuwafikia walengwa ni nadra.

Ni sawa kutoa msaada wa mikate kwa wakazi wa Masaki Mwisho.

yaani kapeleka mashine ya kuspray dawa bungeni na waandishi juu. Yaani wabunge nao hawajiwezi. Mara mapesa kwa waziri Mkuu.

Alafu juzi kagawa tu-sabuni kwa wananchi.

NAJIULIZA, WHAT IS NEXT AFTER WHAT IS ROSTAM DOING NOW?

ALLAHU A'ALAM
 
Labda anatakatisha fedha? Waangalie sana huyu jamaa hajawahi kushindwa na kimsingi kwa tajiri mwenye pesa chafu huu ni wakati mwafaka kuzitakatisha........
MWANGALIENI HUYU JAMAA
 
Tukio mbona tayari..dogoli na issue ya ujangili mpaka Ikulu...mara fasta Magogoni.
Sasa subiri tukio namba mbili
 
Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ...

Anamwaga pesa mno.. .. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN...

Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la sindano...

Na unaiona misaada mingi inapelekwa sehemu zisizo stahili ambazo kuwafikia walengwa ni nadra. ..

Ni sawa kutoa msaada wa mikate kwa wakazi wa MASAKI MWISHO. ..

yaani kapeleka mashine ya kuspray dawa bungeni na waandishi juu. .. Yaani wabunge nao hawajiwezi.. Mara mapesa kwa waziri Mkuu. ..

Alafu juzi kagawa tu-sabuni kwa wananchi...

NAJIULIZA. .. WHAT IS NEXT AFTER WHAT IS ROSTAM DOING NOW.. .?

ALLAHU A'ALAM.. .
Anapalilia shamba lake (standard gauge project)
 
Ujamaa umefifisha sana akili zenu watanzania. Yaani mtu kuwa tajiri mnaona kama laana vile na Ndo mana wengi wetu maisha yetu ni ya umasikini wa kutupwa hadi kwenye janga la kidunia Corona serikali inahofia kuweka Total lockdown.

Dunia nzima matajiri wanajitolea kusaidia wananchi wao na serikali zao na huko hakuna hata nongwa. Hapa Rostam anajitolea badala mumshukuru ila still mnaendekeza roho zenu za chuki na uchawi.
 
Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ...

Anamwaga pesa mno.. .. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN...

Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la sindano...

Na unaiona misaada mingi inapelekwa sehemu zisizo stahili ambazo kuwafikia walengwa ni nadra. ..

Ni sawa kutoa msaada wa mikate kwa wakazi wa MASAKI MWISHO. ..

yaani kapeleka mashine ya kuspray dawa bungeni na waandishi juu. .. Yaani wabunge nao hawajiwezi.. Mara mapesa kwa waziri Mkuu. ..

Alafu juzi kagawa tu-sabuni kwa wananchi...

NAJIULIZA. .. WHAT IS NEXT AFTER WHAT IS ROSTAM DOING NOW.. .?

ALLAHU A'ALAM.. .
ndiye "shostito" wa mkazi wa sasa pale Magogoni (ambaye hata hivyo kwa sasa kahamishia makazi yake huko kwenye ukanda wa western lake).

kuna swali?
 
Sisemi kwa ubaya hii corona itatenda yaliyo ya ajabu
Ikifika October wengi wa mchichamchicha watakuwa kwenye kiti cha hukumu
Acha amwage lakini corona inawamaliza nguvu bila wao kutambua
 
Kutoa ni moyo jamani sio kila jambo lazima unufaike. Anataka afanye kazi na watanzania kwa roho safi tu.
 
Back
Top Bottom