1. Ugonjwa wa ghafla uliompata "Edward Lowassa" kuelekea 2015
2. Kifo Cha Chacha Wangwe.
3. Kifo cha Sokoine
4. Kifo cha Membe
5. Kifo Cha Dr Mengi
6. Kifo cha Mch Christopher Mtikila
7...
Polepole: Kosa moja Magufuli alilolifanya ni kutaka kufanya maridhiano na watu ambao hapaswi kuridhiana nao, mafisadi, wezi ni moja kosa kubwa sana alilifanya Magufuli akaamini wataridhia na ni...
Wanabodi,
Tangu kutokea kwa Msiba wa Mzee wetu Reginald Mengi, kuna mengi makubwa, mazuri yamesemwa kumhusu mtu huyu wengi kwa kumshukuru Mzee Mengi kwa mema mengi aliyoyatenda watu wengi ila...
Mimi, Charles Andrea Kulwa, nimepokea barua yako leo tarehe 28/08/2025 ukiambatanisha na barua yenye Kumb. Na: RM/INEC/SB/01/25 ya tarehe 28/08/2025 iliyoandikwa na Raymond N. Mwema; ukinitaarifu...
Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k
Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni...
Mlimbwende kutokea kwenye kiwanda cha filamu Tanzania na aliyekuwa Miss Tanzania, Wema Sepetu ameweka wazi Rais Samia kumrahisishia mazingira ya kazi zake kupitia taasisi yake ya Wema wa Mama na...
Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo.
Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa...
HUU NDO MSIMAMO WANGU WA UCHAGUZI WA 2025
Kwanza acha ni-declare interest mimi siandiki uzi huu kwa sababu ya kusaka cheo au teuzi bali kuna mambo nataka uyaone kwa jicho la utofauti
Misimamo...
Najinasibu kwa kuwa consistent on issues!
Kwa muda mrefu nimeulizia na kushawishi juu ya uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote ...ikiwa ni mbinu ya kistratejia kufikia uhuru wa kweli na...
Hii ni kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na baadhi ya vijana waliomaliza na kunufaika na mikopo kutoka bodi ya mikopo.
Ukweli ni kwamba Upinzani ambao sasa wanajiita Ukawa waliipinga sera ya serikali...
Wasalaamu wadau wa JF,
Kama taifa zipo nyakati tutapaswa kuzipitia zipo nyakati ngumu tutapaswa kuzipitia. yapo ya kujitolea na wapo wa kujitolea kama wana Taifa ili tu Taifa lisonge mbele.
Ipo...
Ngerengere ni Kitovu cha Biashara,Kilimo na Uchumi.
Hili ni eneo linalokuwa kwa kasi na hupokea wageni wengi ikiwemo kutoka Congo, Rwanda na Burundi.
Kwa umuhimu huo basi ni busara kuboresha...
Ukiona ukaribu wa huyu mtu na Rais Samia si bure. Kuna jambo na mimi kwa akili yangu nimeanza kuamini anayoongea Polepole kuwa yana ukweli asilimia Mia moja.
Kwanza kwanini Kizinga from no where...
Nilichogundua ni kuwa jamii ya watanzania ina akili mno na inaelewa nani mkweli nani mwongo, yupi mbea na yupi mpiga debe, yupi mnufaika na yupi mwanamaslahi.
Jamii hujitenga na mhuni, mnafiki...
Tangu alipojiuzulu ubunge na nyadhifa zote za uongozi ndani ya CCM. Rostam aziz alifungasha virago vyake na kuelekea dubai.
Ghafla tu aliposikia Tanzania tuna uchaguzi mwaka huu amerudi nchini na...
Baada ya Mengi kuwatosa wananchi wanyonge waliokuwa wanamuona ni alama (symbol) ya kupambana na mafisadi, hasa baada ya ujasiri wake wa kuwataja mafisadi papa, sasa wanyonge tutampata wapi...