Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa inatosha muachie Lissu..................Muachieni Lissu Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma! Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?
24 Reactions
57 Replies
2K Views
Tunahitaji vijana wenye uthubutu na wenye utambuzi. Yericko Nyerere Anatosha
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Staa muuza nyago kwenye video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu za Kibongo, Agnes Gerald ‘Masogange' na shosti wake, Mellisa Edward kabla ya kupandishwa kizimbani kwa msala wa...
17 Reactions
299 Replies
92K Views
Salaam! Mtu huyu anatajwa kumiiliki biashara kubwa kubwa Tena akizipata tenda za mamilioni na mabiioni zenye faida kubwa. 1. Tunaambiwa kwenye almasi yumo. 2.Migodi ya dhahabu yumo, 3. Makaa...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Hakuna usawa watu wanaingiziana mabilioni kwenye account zao,wanaendesha magari ya billion 20 lakini Mimi hata hela ya kula sina,nimekopa kausha damu hivi sasa nimepata presha hela ya kulipa...
4 Reactions
5 Replies
578 Views
Inasikitisha sana kuona miradi ya watu binafsi inasimamisha miradi mikubwa ya nchi ambayo ingesaidia vizazi na vizazi. Hawa wanaoitwa "Wanamtandao" ni MAADUI NAMBA 4 wa Tanzania baada ya UJINGA...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki . Ila wamechagua njia ya Ku-play low key . Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao. Hakikisha...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Naam! nmeota hivyo leo Mchana kipindi nmepitiwa Usingizi Baada ya kushiba ugali wa mtama na nyama ya kuchoma apa Stendi ya Nyamhongolo Jijini Mwanza Nikiwa safarini kuelekea kumsindikiza mgombea...
1 Reactions
1 Replies
543 Views
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano na wananchi Dakawa, Morogoro, aliahidi kukamilisha kituo cha afya na zahanati, kujenga mstari wa umeme wa 220KV kutoka Morogoro hadi Dumila, na...
0 Reactions
1 Replies
443 Views
Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu. Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini. Wengi walitajwa, na bila shaka chuma...
1 Reactions
2 Replies
564 Views
Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile 1969-2024 Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Kigamboni, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile kilichotokea usiku wa...
56 Reactions
591 Replies
62K Views
Tangu Polepole ameanza series yake kali kabisa ya kataa wahuni, kuna mengi sana nimejifunza na ninaendelea kujifunza. Hakika ni kama jambo la heri sana kwa bwana huyu kutokea na kuendeleza ile...
0 Reactions
9 Replies
866 Views
Hivi binadamu hawa wa Kitanzania aibu wamepeleka wapi? Aibu hizi za wizi na ufisadi wa mali za umma kutokea katika viunga vya ofisi kuu kama unavyo wekwa wazi na mtu mwenye hadhi ya Ubalozi...
5 Reactions
8 Replies
772 Views
Uraisi wa Magufuli haukumfutia uumenwake kwa mkewe, haukumfutia Ubaba wake kwa wanawe Hakuna Sheria inasema raisi akiumwa anauguzwa na mkuu wa majeshi, usalama wa taifa na IGP hiyo Sheria haipo...
1 Reactions
6 Replies
861 Views
Katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025, vyama vya siasa 18 vimehusika katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Rais na Makamu wa Rais. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)...
0 Reactions
5 Replies
680 Views
Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati. Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule. Tuje kwa Askofu Bagonza wa...
0 Reactions
11 Replies
704 Views
Hapo kwenye Mtandao ni lazima huyo Polepole atoe ufafanuzi kwa sababu ulipogawanyika mzee Sitta akaondoka na akina Dr Mwakyembe, Nyalandu, Kilango, Membe, Ole sendeka nk Lowassa akabaki na akina...
3 Reactions
4 Replies
361 Views
Source: EA Radio Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge...
2 Reactions
323 Replies
44K Views
Back
Top Bottom