Nilichogundua ni kuwa jamii ya watanzania ina akili mno na inaelewa nani mkweli nani mwongo, yupi mbea na yupi mpiga debe, yupi mnufaika na yupi mwanamaslahi.
Jamii hujitenga na mhuni, mnafiki...
Tangu alipojiuzulu ubunge na nyadhifa zote za uongozi ndani ya CCM. Rostam aziz alifungasha virago vyake na kuelekea dubai.
Ghafla tu aliposikia Tanzania tuna uchaguzi mwaka huu amerudi nchini na...
Baada ya Mengi kuwatosa wananchi wanyonge waliokuwa wanamuona ni alama (symbol) ya kupambana na mafisadi, hasa baada ya ujasiri wake wa kuwataja mafisadi papa, sasa wanyonge tutampata wapi...
Katika hili nitsimama na Rais Samia na kumpongeza sana.
Fedha za covid zililengwa kutumika katika ununuzi na utekekezaji wa mambo yasiyoonekana kwa wananchi.
Nchi nyingi zilitumia fedha hii...
Kikao cha Kamati ya Uongozi ACT Wazalendo kilichofanyika Tarehe 28 Agosti, 2025 Iringa Mjini, Kata ya Kihesa, Mtaa wa Mafifi, kimepitia na kufanya ukaguzi wa hali za uhai wa Wanachama wake wa Tawi...
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa...
Mgombea Ubunge jimbo la Tarime mjini kupitia ACT-Wazalendo amemuwekea pingamizi Mgombea wa CCM, Esther Nicholas Matiko pingamizi zito sana.
Pingamizi hili kungekuwa na utawala wa sheria Hakika...
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya...
Hii ni SPECIAL THREAD itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM Samiah Suluhu.
Huu ni mkutano wake uliofanyika Mtwara.
Wananchi...
Tanzania Abroad TV
@AbroadTanzania
1. Mkataba wa kifisadi wa ITPL ambao unaihusu kampuni ya Tanesco.
2. Mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na kuliuzia shirika la Tanesco; ufisadi wa mikataba...
Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar katika kuhakikisha Amani na Usalama wakati wa kampeni na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 limejipanga vyema kuhakikisha ulinzi na usalama unahimarishwa wakati wote...
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao jana Agosti 29, amesema "Watu wanamdanganya Rais wetu kwamba anasifiwa nje ya tanzania...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amechukua fomu ya kugombea Urais katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi...
Kada wa Chama cha ACT Wazalendo Monalisa Joseph Ndala amepinga vikali kuvuliwa kwake uanachama kupitia taarifa iliyotolewa na uongozi wa chama hicho Tawi la Mafifi mkoani Iringa
Akizungumza na...
Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo.
Corona huwapiga zaidi watu wenye...
Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo...
High quality copy ya hayati Magufuli pekee ni bw. David Mwaijojele, trust me or not, kwa wale watu wa msimamo mkali mmepata mtu mwenye wajihi sahihi, mfuatilieni nyendo zake na sera zake pamoja na...
NA J_Okay
Hatimaye kampeni zimeanza, huku Rais Samia Suluhu Hassan akitafuta miaka mitano mingine ya kukamilisha kazi yake. Ionekanavyo, Rais Samia atapita kwa urahisi, ingawa idadi ya wapiga...
Wakuu!
Mnakumbuka Agosti 28, 2025, Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika Viwanja vya Tanganyika Packers, jijini Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.