Tunajua nchi yetu imejifia. Mifumo haifanyi kazi, na ujinga ndo kila kitu. Si TAKUKURU, si TISS, si Mahakama, si JWTZ si POLISI si Serikali Kuu kote kumeoza.
Utaalam hauheshimiwi na uchawa ndo...
Mapema leo Agosti 26, 2025 mgombea Ubunge Jimbo la Nyasa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) John John Nchimbi amefika mbele ya Ofisi ya msimamizi wa Uchaguzi Jimbo ambapo mara baada ya...
Hakuna haja ya kuongeza sauti. Ndiyo huku kwetu tunakuta hata kama ulipata kura 90%, tunamleta aliyepata 1%.
Kisha hulalamika, na unaomba wajumbe wako waunge mkono zile 1%.
Ee ndo hivyo bana...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Vunjo Enock Koola, leo Agosti 26, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka
Jana kuna mahali kijiji kidogo cha ruvuma watu wanadai wameunganishiwa maji tokea uhuru hawakuwahi kuwa na maji wanachota kwenye vidimbwi.
Nawamedai tokea wapate uhuru hawakuwa na vitu muhimu...
Kama ni kweli makomandoo walizuia wazee walioambatana na mbuzi kuingia uwanjani....
Kama kweli polisi walishindwa kuwadhibiti makomandoo....
Kama kweli hakuna tukio lililoripotiwa polisi kuhusu...
Hivi ukiwasikiliza Nyumbu wa Chadema unaweza kuwaelewaje.
Wakati wa Magufuli walipiga Kelele kuwa bora utawala wa kikwete .
Leo tena mnasema kikwete hafai, mnabidi mkapinwe UTI sugu
Anatuelezea historia za watu mbalimbali wa Babeli na misimamo yao tangia akina Abraham hadi akina Daniel
Dah kwa hakika sasa ndio nimeelewa kwanini Tundu Lisu anawatetea Wapalestina badala ya...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP.
Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea...
Amani ya Bwana ikawe juu yenu wana jf kila mmoja kwa imani yake .
Nimekua kwenye maombi mazito sana juu ya taifa langu ,kuamukia leo Mungu wangu kanipa codes flani hivi ambapo itanibidi mimi...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Khamis Mbeto, ametangaza rasmi ratiba ya mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, akieleza kuwa mgombea husika...
Tumeuliza hili kwa sababu ya Utaratibu wa CCM kwenye jimbo hilo ni kuwateua Wakuu wa Mkoa huo.
Sasa aliyekuwepo katoka na aliyekuwa kabla yake kagombea Ubunge, Pedeshee Makalla ndio kawa Mkuu wa...
Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal ambaye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) amewataka Vijana kwenda kuyasema mazuri yanafanywa na Mwenyekiti...
https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika...
Askofu Dkt. Isaac Kissiri Laiser wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Magharibi Kati Tabora, ametoa wito kwa Watanzania kusimama imara kutetea haki, akisisitiza kuwa...
Wazee wa Arusha kabla hawajapitishiwa bahasha walikuwa siliasi kuikataa CCM na uongozi wa Samia lakini sasa hivi sijui nini kimewapata, ule ujanja akilini hawana tena.
Wananchi wa kitanzania siku...
Mpaka sasa kuna kelele chungu nzima, za kumtaka Rais Kikwete apumzike. Mimi sioni kama ni sawa; naiangalia kama kitendo cha kuingilia uhuru binafsi wa mstaafu Kikwete, kama mtu binafsi. Hata yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.