GE2025 Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP.

Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani, na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za kisiasa"

wakuu
===
Rais wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukus yaani Tanzania Law Society Ameishauri Serikali kutoka mahakani ili tundu lissu atoke mahakamani.

Big up Mwabu!
Big up sana TLS!
Kale ka simba ka Kizimkazi,kaachiliwe kutoka kwenye ile cage!,kaachiliwe kawe huru kurudi kwenye the wilderness!
Nimeguswa Sana!。
P
 
TLS wenyewe hawajapeleka wakili wao kwenye kesi ya Lissu Mwabukusi ni tapeli.
Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni.

Ukifuatilia mwanzoni wakati TAL amekamatwa, BAM alisema mwenyewe wakitaka huduma hiyo mawakili wa TAL basi watapewa.

Fuatilia mambo mkuu.

Halafu, kwani TAL amekosa mawakili au serikali ndiyo inaipiga danadana kesi yake?
 
Kumshikilia mtu gerezani miezi zaidi ya mitatu kwa kesi ya mchongo, nadhani haijakaa sawa hata kidogo. Haya ni matumizi mabaya ya madaraka na pia vyombo vyetu vya kusimamia haki mfano mahakama.
 
wakuu
===
Rais wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukus yaani Tanzania Law Society Ameishauri Serikali kutoka mahakani ili tundu lissu atoke mahakamani.

very nonsense,
yaana mtu akiuke sheria kwa makusudi halafu asiwajibishwe, yaani waropokaji wenzie waje na huruma zao za kinafiki ili mkiuka sheria aachiwe huru?

kwanza huko ni kuingilia uhuru wa mahakama, lakini pia ni kuzifanya sheria za nchi ni useless.

ni vizur watuhumiwa kujikwamua mahakamani kwa mujibu wa sheria ikiwa wanahisi ukiukaji sheria ni haki yao.

wakiuka sheria wote Lazima washikishwe adabu kwa mujibu wa sheria walizokiuka 🐒
 
A condom could have saved us this nonsense....
 
Big up Mwabu!
Big up sana TLS!
Kale ka simba ka Kizimkazi,kaachiliwe kutoka kwenye ile cage!,kaachiliwe kawe huru kurudi kwenye the wilderness!
Nimeguswa Sana!。
P
Ni kelele za kuachiliwa tena na si kujiachilia? Hivi Odinga au Gachagua wanaweza kamatwa na Ruto kizembe hivi?

Wako wapi wafuasi wa Lissu waliowaita wenzao magoi goi walamba asali? Nilitegemea ule mzuka wa Lissu asingelala rumande hata usiku mmoja!! Lissu ndo amefanya kiburi cha Samia kipande Mara 1000!!
 
Akili yako na wewe imekuwa matope sana mlipopoteza mradi wenu wa kukitumia chama kama kitega uchumi.

Unajuwa ni wafuasi wa ngapi wa Odinga walisha uawa tokea huyo mtu ajiingize kwenye siasa; unajuwa?
Unaleta hapa mifano ya kipuuzi ili iweje. WaTanzania wakiuliwa ndipo rohozenu zitatulia?

Subiri, waTanzania wataikomboa nchi yao bila yya hizo damu mnazozililia kila mara humu.
 
Ni kelele za kuachiliwa tena na si kujiachilia? Hivi Odinga au Gachagua wanaweza kamatwa na Ruto kizembe hivi?

Wako wapi wafuasi wa Lissu waliowaita wenzao magoi goi walamba asali? Nilitegemea ule mzuka wa Lissu asingelala rumande hata usiku mmoja!! Lissu ndo amefanya kiburi cha Samia kipande Mara 1000!!

..hapo limetumika jeshi na mahakama kumdhibiti Tundu Lissu.

..lakini wafuasi wa kawaida wa SSH hawawawezi wafuasi wa kawaida wa TAL

..sijui kama unakumbuka vile vikao vya madiwani vya manispaa ya Dsm 2016 to 2020 jinsi madiwani wa Ccm walivyokuwa wakipigwa na madiwani wa Chadema.

..Ccm ilibidi waite Polisi kwenye vikao kwa kuogopa vipigo toka kwa Chadema.

..Polisi waache kuingilia siasa. Mambo yote ya siasa waachiwe vyama vya siasa na wafuasi wao wamalizane.
 
..kwenye kujenga hoja, na kushawishi wapiga kura, Mama Abduli hamuwezi hata Salum Mwalimu.
Kwa vile Watanzania hawachagui hoja,wanachagua mtu, hata akisimama na kupunga tuu mkono,inatosha,kwasababu,kazi tuliisha maliza kitambo!,29 October ni kutimiza tuu taratibu za kuhalalisha kwa kuthibitisha kwa kutiki tuu, kutimiza lile takwa la kikatiba!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
P
 
Ni kelele za kuachiliwa tena na si kujiachilia? Hivi Odinga au Gachagua wanaweza kamatwa na Ruto kizembe hivi?

Wako wapi wafuasi wa Lissu waliowaita wenzao magoi goi walamba asali? Nilitegemea ule mzuka wa Lissu asingelala rumande hata usiku mmoja!! Lissu ndo amefanya kiburi cha Samia kipande Mara 1000!!
Ni vizuri ilivyokwenda hivi, ndio imetuonyesha , shida zipo wapi.
 
Back
Top Bottom