Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijui ni kwanini wapinzani hawakomi, kila uchaguzi wananaswa kwa mtego uleule wa CCM unaotegwa kwa aina ileile na kunaswa palepale chini ya mkanda. Orodha ya mitego ni ndefu sana (Marando, Mrema...
1 Reactions
4 Replies
610 Views
Yaani hiyo package wenyewe wanapata nini
0 Reactions
4 Replies
408 Views
Wakuu hawa jamaa hii michezo Hawajaanza leo ni tangu miaka na miaka uko nyuma! Kwahiyo ata Aya yanayosemwa sasa ni marudio tu na ni kama hawa jamaa hii michezo washaizoea! Nikiwa Mwanafunzi wa...
2 Reactions
9 Replies
743 Views
Namkumbuka Padre mmoja aliwahi kunihubiria kuwa ushinde ubaya kwa wema. Yaani mtu mbaya anapokuletea ubaya usimjibu na waka usimtendee ubaya badala yake jikite kumpelekea wema. Tujibu Ubaya kwa...
2 Reactions
9 Replies
783 Views
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa zamani wa Misungwi, Charles Kitwanga, amechukua fomu ya kuwania tena ubunge wa Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kupata matukio...
0 Reactions
1 Replies
919 Views
Umewahi kujiuliza kama iwapo matakwa ya ndugu Humphrey Polepole yangetekelezwa angesema anayoyasema sasa mitandaoni kupambana na Rais Samia? Siamini hilo. Haijalishi kama ni kweli au ya uongo...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya. Kama ofisini kwa tume huru ya uchaguzi taifa tayari kuna picha ya mgombea urais maana yake rais ajae anafahamika tayari, kama mshamjua kwanini...
1 Reactions
8 Replies
998 Views
CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo . Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba...
1 Reactions
14 Replies
942 Views
Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
- Tatizo hili linaendelea hata baada ya kukamilika mradi wa maji wa tanki la bangulo uliogharimu bilioni 36.8 na maji hamna Kinyerezi. Wakazi wa Kinyerezi wapo katika wakati mgumu maji ya Dawasa...
0 Reactions
4 Replies
417 Views
Haki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha 😄 🤣 😂 endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.
3 Reactions
50 Replies
3K Views
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 Leo viwanja vya kawe vimependanza kwa kijani 2.TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea...
0 Reactions
2 Replies
518 Views
Kuna usemi "Dunia imejaa Werevu wenye Mashaka na Wapumbavu wenye kujiamini sana" Uzoefu unaonyesha kwamba watu wenye akili nyingi mara nyingi wana shaka, wakati wasio na maarifa mengi huwa na...
2 Reactions
0 Replies
249 Views
Watu ambao hamuwajui CCM ndio nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na CCM na bado mnafata . CCM ndio chama pekee kina watu intelligent kuzidi chama chochote.
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala saba B huko Nzera Chato Kusini, Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B Pia elimu ya...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Tupo hapa Kawe Nashauri CCM ikumbatie baraka hizi za Mungu wa mbinguni na ikiwezeka Mtume apite mikoa yote ya Tanzania na Zanzibar kuachilia baraka Hii ni Funga kazi 🙏✔️
1 Reactions
9 Replies
519 Views
Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Pichani ni viongozi ambao wote walikuwa ni Wagombea Urais na Wote Wametangulia Mbele Za Haki. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Huyo hapo kwenye video anaitwa Hamis Salum Hamis, ni mmoja wa watia nia kupitia CCM nafasi ya Ubunge kwenye jimbo la Meatu Mkoani Simiyu. Hapo yupo katika moja ya kijiji uko kata ya Makao, na...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi Kuna wale...
0 Reactions
4 Replies
535 Views
Back
Top Bottom