Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama LISSU angeamua kua kama Mbowe akakiingiza Chama kwenye huu upuuzi wao ambao hautafanyika bila Reforms, hizi siku za Kurejesha Fomu ingekua ni vita, Wagombea Upinzani wangefanyiwa hila za...
9 Reactions
14 Replies
977 Views
  • Poll Poll
ANGALIZO: Kura hizi ni Huru na hazihusishi Mchakato wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 nchini Tanzania. Hivyo Wagombea wanaowekwa hapa wengine hawajatangaza nia wazi kuwa watashiriki...
1 Reactions
9 Replies
733 Views
Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa mbogamboga analeta blablaa za kuifanqnishq Tanzania na Congo sjui Malawi na wapi sjui .... yani nasema hivi Tanzania inapaswa kuwa vile #Tanzania ilipaswa kuwa vile...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Kiongozi huyu , VAR, ya vyama vya kisiasa ya mnasa mgombea urais chama cha ICT , kanda wachama hicho ikiandiii imekosa vigezo vya kuwa mgombea urais wa chama hicho kama katiba yao ya chama...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Mwenezi ACT alitoa vifungu vinavyoonesha kuwa hana vigezo vya kugombe urahisi. Katika katiba ya ACT vifungu vifuatavyo vinamuengua 16(4)(I) Awe mwanachama wa ACT kwa muda usiopungua mwezi mmoja...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Hata aibu hawana! Kumbe yalikuwa manyangau! Labda CCM watamuachia. Time will tell!
2 Reactions
10 Replies
790 Views
Kukatwa kwa Luhaga Mpina ni kuionyesha dunia kwamba ACT si projekti ya CCM. Na pia kuonyesha kwamba POLEPOLE anaongea uongo. KWA WENYE UFAHAMU IKO HIVI KWA KIFUPI KABISA. Mpina aliandaliwa na...
4 Reactions
3 Replies
723 Views
Kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 34(1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 20(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Huko zamani. Mbwa alikuwa anamfukuza Paka. Na Paka anamfukuza Panya. Uadui huo ulikuwa kila mtu anauona kiuhalisia na kwa vitendo. Nadhan ni kwasababu ya chakula/posho waliyokuwa wanapata. Au...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema, "Hatukatai kwamba kulikuwa na mabadiliko, mabadiliko yamefanyika ya Kisheria kwenye Sheria za uchaguzi, lakini tuwe wa kweli unapobadilisha unataka kutibu...
3 Reactions
5 Replies
846 Views
Tuliwaambia kwa wanaojielewa no reform no election. Na hata hao wanao waambia watawapa majimbo sio ukweli
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Katibu mwenezi ACT Wazalendo mkoa wa Dar es salaam Monalisa Ndala leo Agosti 19, 2025 ameandika Barua kwa Msajili wa vyama vya Siasa Nchini kama mlezi wa vyama vya siasa. Hiyo ni hatua ya pili...
2 Reactions
13 Replies
892 Views
Nakupongeza kwa kutenda haki, kama amechaguliwa kinyume na Katiba ya ACT, mtengue kama ulivyofanya. Lakini mbona scenario ya Mpina ni sawa na ya Samia? why double standards Ninaomba jibu ya...
4 Reactions
6 Replies
685 Views
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Yericko Nyerere amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu kwa msimamizi wa...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Hili ni swali kwa wajuvi wa sheria je takwa hili la wagombea kuhakikisha kwamba wana wazunguka na kupata wadhamini kwa nafasi za urais kutoka mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani halipo tena...
0 Reactions
1 Replies
585 Views
Lakini Wazee wa zama hizi hapa Mzizima ndio hawa akina Haji Manara na Aden Rage Dunia inabadika sana enzi zile ilikuwa akina mzee Kambangwa, Kamtawa, Ramadhan Nyamka nk Mzee Mgaya ataingia...
1 Reactions
16 Replies
619 Views
Mtakumbuka kuwa mimi Monalisa Joseph Ndala niliwasilisha malalamiko Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nikionesha dosari za kikatiba na kikanuni katika mchakato wa uteuzi wa Mgombea Urais wa...
0 Reactions
1 Replies
615 Views
Heshima sana wanajamvi, Barua kutoka Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Mkaazi ya tarehe 12/08/2025 kuhusu uuzaji wa viwanja eneo OLMOT karibu na uwanja wa mpira wa AFCON. Tarehe 12/08/2025...
1 Reactions
3 Replies
348 Views
Back
Top Bottom