Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linakabiliwa na hili jinamizi la watu wasiojulikana, ambao wanateka Watanzania, wanatesa Watanzania, na wanaua Watanzania bila huruma. Kila tukio...
12 Reactions
54 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akitoa ufafanuzi Julai 29, 2026 Visiwani Zanzibar baada ya kuwepo kwa malalamiko ya kukamatwa kwa watuhumiwa 130 wa makosa mbalimbali nchini...
0 Reactions
11 Replies
321 Views
  • Redirect
Mheshimiwa Katambi kuwa serious basi. Maana mpaka sasa nchi inatishio la ugaidi.Ndio maana kuna watu 130 wapo mahabusu na kesi za ugaidi zinarindima mahakamani
0 Reactions
Replies
Views
Wanabodi Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi Kufuatia kilichotokea kwenye yale maadhamano haramu ya tarehe 29 October, na kutaka kujirudia tarehe 9 Desemba, 2025, kiukweli tishio la...
-2 Reactions
38 Replies
927 Views
Wezi na wabadhirifu wa Mali ya umma, mafisadi na familia zao, matajiri wa dili ambao kwa awamu hii wanatamba wajiandae. Mapema 2030 watahama na Mali zao kutaifishwa. Huyu Samia kitakachomlinda...
10 Reactions
22 Replies
572 Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo. Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa...
7 Reactions
34 Replies
905 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo ambapo tunatuma maombi kwa Rais Samia, aiweke hadharani ile Ripoti ya Jaji Chande, kwasababu hata Jaji Chande Mwenyewe, alidhamiria...
4 Reactions
16 Replies
353 Views
Hii ndio tafsiri sahihi ya ujumbe wa Dk Nchimbi. Kwamba watanzania wapambane ili kupata katiba ambayo ni mali ya wananchi. Mwaka 1977 baada ya Asp na Tanu kuungana Mwl Nyerere kwa udikteta wake...
0 Reactions
1 Replies
79 Views
Hapo ndipo tulipofika. Kila mmoja anajitahidi kumfurahisha mama kwa kuwa katili. Juzi Ryoba alikuwa anaongea utumbo akiwa na inclination ya kumfurahisha mtu.
0 Reactions
5 Replies
76 Views
Hawa Gen Z wetu wanadhani ni wajanja sana kuliko wazee wao. Harakati za upinzani kwa serikali halikuanza leo, kuna watu walijaribu lakini imewawia vigumu kufanikiwa. Hata akina Heche tusiwachukie...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Mama, CCM imekuharibu huenda ulikuwa mwema sana . Majizi kila siku na kabla kazi nikukutengenezea hofu, hofu ambayo imevuruga Taswira yako na nchi , wahauni hawa na wenda wana jambo lao na...
17 Reactions
61 Replies
828 Views
Mnaweza kufanya jitihada za kuzuia upinzani kwa kila njia ili tu wasipate wawakilishi ingiwa wanakubaliwa lakini mjiulize je mpo tayari chama chenu kikategemea kupata maagizo kutoka kwa IGP. Maana...
6 Reactions
7 Replies
150 Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika mapema leo mjini Zanzibar.
0 Reactions
Replies
Views
Wana chama wengi wa chadema, pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa...
1 Reactions
6 Replies
171 Views
Mara nyingi tunasikia baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania zikijinasibu kuwa zinafuata mfumo wa demokrasia Lakini swali langu ni hili: Je, demokrasia inaonekana kwa vitendo, au ipo kwenye maandishi...
10 Reactions
111 Replies
908 Views
  • Redirect
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akitoa ufafanuzi Julai 29, 2026 Visiwani Zanzibar baada ya kuwepo kwa malalamiko ya kukamatwa kwa watuhumiwa 130 wa makosa mbalimbali nchini...
0 Reactions
Replies
Views
Kikwete ulizingua Mwaka 2015 baada ya kulazimisha Kato amchague Samia kama Mgombea mwenza, Tetesi zipo ambazo zingine hatuna ushahidi nao kwamba ondoa kete namba moja ili iliyokakaribu itimbe...
19 Reactions
46 Replies
1K Views
Akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media Julai 27, 2026, Mkuu wa Idara ya Habari na Uenezi wa CHADEMA, Gerva Lyenda, ameeleza kuhusu wanaotoa tuhuma dhidi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho...
2 Reactions
29 Replies
318 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilwa, Abdshakuru Abubakari Mohammed amesema kwa sasa CHADEMA inatumia mabavu na haifuati katiba ya chama. "Leo...
2 Reactions
18 Replies
248 Views
Katika makala yangu nimeanisha njia 22 ambazo viongozi wengi huzitumia kurubuni na kuongoza hisia za Raia... Leo nitakutajia zote, jina langu ni Robert kisunte.... Huwenda njia hizi zimetumika...
1 Reactions
2 Replies
132 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…