Mh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu...
Ndugu Polepole ana hekima kubwa sana hata Mimi sina,alianza kuongea kama mwezi umepita kaeleza kwa kina kaonana na wasaidizi wa Rais wote kawaambia yoote,kaonana na Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa...
Tamko
https://www.youtube.com/live/zTiG8A6xBUk?si=0TkwcRajP0kn483k
Tamko la Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Unguja Kuhusu Msimamo wa Kususia uchaguzi Bila Mageuzi na Tahadhari za Madhara ya...
Kwanza uungwana ni vitendo.. Na kujishusha ni kuonesha ukomavu wa akili.. Lakini vilevile kutubu ni kuonesha majuto na kujirudi kulikojaa tafakuri
Lakini yote hayo huwa na maana ama hukosa maana...
Ndugu wa jeshi la polisi.
Nimeona hii kashfa ya dogo janja msanii kumpiga mwanafunzi.
Imenihuzunisha sana sana.
Awali ya yote chunguzeni.
Uhaalali wa hio siila kwa dogo janja..anamiliki...
Tuliwambia siku nyingi kuwa tabia ya CCM kutaka kuua upinzani ndiyo itakuwa chanzo cha kifo chake. Duniani mpaka mbinguni upinzani ni muhimu. Ndiyo maana hata Mungu alimuacha shetani aendelee...
Watanzania mnatumika na mtaendelea kutumika Sana.
Hawa wote sijui Heche , Sijui Lissu, Sijui Polepole , sijui Ccm .
Ni kupoteza Muda .
John Heche Kaka yake wa Damu ni Mwanasheria ambaye yupo...
TUJIULIZE JE,Kuna haja ya wajumbe wa CCM kupiga kura ya MAONI ilhali wakijua ni NEC ndiyo inachagua Wabunge?.Je kufanya hivi siyo kuliuza haki za wajumbe waliopiga kura?.Baada ya Kamati kuu ya CCM...
Huyu ni miongoni mwa wale waliokuwa wanafaidi matunda ya nchi kwenye utawala wa Awamu ya 5, ni mmoja wa wale viongozi wa ngazi ya chini waliokuwa na Kiburi kilichopitiliza , inadaiwa alikuwa na...
Nashindwa hata kuendelea kuandika lolote katika hili.
Kweli kabisa, Mgodi wenye Uhai wa miaka karibu 400, unauza Asilimia 70 yake Kwa Bilioni 5??.
Alafu kumbe hata hiyo Bilion Tano hajalipa...
Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika Jimbo la Kinondoni, Rahma Mwita ameahidi kuwekeza nguvu zake katika kuboresha huduma za kijamii na miundombinu endapo wananchi watampa...
Ndugu Humphrey Polepole ameibuka usiku huu wa tarehe 24, agasti amefunguka wazi sababu za kwanini Rais Samia hatakiwi kugombea na kumtaka apumzike.
Katika maelezo yake ameweka wazi namna ambavyo...
Kauli ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kwamba mifumo ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeunganishwa na ile ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mamlaka ya...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza rasmi hakitasimamisha mgombea wa urais kwa upande wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao. Badala yake, kimeelekeza nguvu zake katika kinyang'anyiro...
Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga...
Wanavyokunjaga sura na kujifanya wababe na wajuzi huwezi amini wajinga wajinga CCM wanawapelekesha kama mazuzu. Huwezi amini CCM wanawaona kama matoy tu yasiyo na chochote wala lolote.
Yaaani...
Whatever the reason, hii ina kasoro kubwa
FAIRNESS IKO WAPI.
HAWA WANAFANYIZIANA WENYEWE KWA WENYEWE HALAFU CHADEMA UINGIE UCHAGUZI BILA TUME HURU UNATEGEMEA NINI?
Erythrocyte hakuna uchaguzi
Naibu Mkurugenzi Habari Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Mwandishi wa Habari wa Mawio Online TV, Ipyana Samson Umetuliwa na Chama hicho kuwania nafasi ya...