January Makamba mbunge wa jimbo la Bumbuli na waziri msitaafu uliyetimuliwa kazi na Marais wawili tofauti, kwenye awamu mbili tofauti sasa umeyatimba baada ya kujulikana hadharani kwamba ulipigwa...
Katika aina mbalimbali za Udikteta na sifa zake basi nchi ya Tanzania inaangukia katika Udikteta wa chama kama mfano China.
Tanzania haina Udikteta wa mtu mmoja kama Rwanda au Uganda, haina...
Karibu yote waliokuwa wanasema Chadema sasa Watanzania wanathibitisha
1. Kwamba CCM hawawezi kushindana
2. Kwamba kura zinaibiwa
3. Watu wa Mama ndiyo watekaji
4. Nchi imeuzwa kwa wana mtandao
5...
Kama mfumo wa kidemokrasia umeshindikana kabisa kuwepo nchini jambo ambalo mpaka sasa nakiri kushindikana kwake basi upatikane udikteta wenye faida.
Si jambo jema kukosekana vyote mnaweza...
Nimpongeze sana Monalisa Ndala umeonyesha uzalendo na chama chako na na sisi tunakuombea kwa Mungu atakulinda wasikufanyie ubaya wasikutishe lakini kuwa makini kwa sababu wameumia sana kwa sababu...
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho hakijafunga mifumo ya uchangiaji wa chama hicho maarufu Tone Tone, akiwaomba Wanachama na wapenzi kuendelea kukichangia, kwani kwa...
Mwandishi wa habari mwandamizi Ansbert Ngurumo amewakemea vikali wafuasi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akiwataja kuwa wanakwepa uwajibikaji kwa madai kwamba “kama Lissu asingekuwa...
TAMKO RASMI LA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MWAKA 2025.
Ndugu Watanzania na wote wanaopenda Mageuzi ya Fikira. Mimi DON NALIMISON NALIMI raia wa Tanzania Leo ijumaa ya...
RAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025
Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha jambo...
Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.
Kundi la pili ni kundi la...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amesema kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi mikutano yote ya hadhara katika mkoa huo imewekwa wazi katika viwanja na tarehe za...
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM...
Nje ya mada: Katika waliopiga kura za maoni ndani ya CCM kumteua mgombea Gwajima alikuwa miongoni mwao naye alimpa kura Rais Samia.
Maana Samia alipata 100%
Gwajima na wajumbe wengine hakuna...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Pangani ambaye pia ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025...