Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati akifunga kampeni za CHADEMA (siku moja kabla ya uchaguzi) kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe; Lissu alisema kuwa matokeo ya uchaguzi wa urais yameshapikwa. Akadai kwamba...
6 Reactions
9 Replies
957 Views
Wakuu, kabla Seth wa IPTL hajamfungulia Kesi Zitto Kabwe , Zitto hakua anahangaika CHADEMA. Taarifa zinasema baada ya Seth kufungua Kesi, Zitto akaona ni maji marefu, akaanza kusema "Serikali...
3 Reactions
12 Replies
820 Views
Wajumbe Arusha M Wana Jambo Lao nalo ni Comrade Dr Makonda
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Mods ,naomba msiiunganishe Huu Uzi !!. Jeshi la Polisi liache Uhuni na Uonevu dhidi ya CHADEMA na LISSU . Wakati Zitto Kabwe akiendeleza kufanya Islamic Radicalization Ndani ya Mikoa inayokaliwa...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuombea haki na amani nchini Tanzania, iliyofanyika Agosti 23, 2025 katika Parokia Teule ya Mt. Agnes Nanenane, Jimbo Katoliki Morogoro, Padre Emilius Kobelo...
2 Reactions
2 Replies
871 Views
Wanachama wote , milokatwa katika nafasi mbalimbali za kuwania Ubunge , msivunjike Moyo. There's so many opportunities in Ccm. Tutakula Sana, hii ni nyama ya Tembo hauwezi kuimaliza MTU mmoja .
4 Reactions
9 Replies
586 Views
Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na...
6 Reactions
10 Replies
938 Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la washauri na wakosoaji wa masuala mbalimbali yanayofanywa na Serikali jambo ambalo linaloteteresha utangamano wa Kitaifa. Tumeshuhudia Wazee ambao kwa kweli ushauri wao...
0 Reactions
1 Replies
321 Views
Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania. Nina...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!. Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya...
13 Reactions
46 Replies
2K Views
Yaan nayenyewe yanajitokeza hadharani Et 'Polepole ni muongo, sio kweli ". Hoja za Polepole, zinakua proved wrong Kwa kutoa tangazo hili 'NIDA/INEC inawaalika Vyama vya SIASA, WATETEZI WA...
13 Reactions
25 Replies
1K Views
Kumekuwa na tuhuma zinazodai kuwa mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeunganishwa au unashirikishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa nia...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Bila kufanya hivyo tutakuwa tunabadilisha wanyonyaji na sisi wabadilishaji kuendelea kunyonywa..., hivyo basi kuliko kusubiri siku tukishawabadilisha labda tutaacha kunyonywa, tuanze kuwasihi wa...
3 Reactions
1 Replies
427 Views
Niliwahi kuwaambia kuwa Chadema na Ccm hivi Vyama having uadui wowote Ila vina utofauti wa kimtazamo. Hawa sio maadui na hawajawahi kuwa maadui . Kitendo cha MTU kukubali kuuliwa ,kuteswa kisa...
2 Reactions
6 Replies
312 Views
Hapo nilipozungushia duara red, kuna mjadala aisee 🤣🤣🤣
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi. Kazi ipo.
11 Reactions
90 Replies
5K Views
TZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku...
6 Reactions
60 Replies
2K Views
Namheshimu Mzee wangu Padre Dk. Slaa. Kwanza kwa umri wake, cheo chake, elimu yake na mengine mengi. Lakini kwa vile nchi hii ni yetu sote yanapotokea mambo kama haya tunayo experience kama...
1 Reactions
12 Replies
536 Views
Nimesima kwa jicho la tatu na kuona ni kama kushtaki kwa wananchi badala ya kushukuru. Umeandika siyo kwa unyenyekevu au kukubali maamuzi ya kamati kuu na hiyo ni ishara isiyo nzuri Tambua kuwa...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Tunakumbushana tu maana naona maneno yamekuwa mengi ilhali CCM ina baraza la ushauri la Marais wastaafu na si kwamba Wamegoma kustaafu Ahsanteni sana 🐼
0 Reactions
8 Replies
360 Views
Back
Top Bottom