Kuna mpango wa ovyo wa Kumpa Salum Mwalimu kura kadhaa za kubumba huyu mtu ili wapate wabunge wa viti maalum kadhaa na wabunge wa ovyo ovyo
Ndugu Watanzania sio Siri tena kwa namna yoyote Mpina...
Hivi maslahi yenu yameguswa? Mbona hamuwi wawazi tukawarudishia wizi wenu. Mtu mzima tena skofu unahubiri siasa eti jk asimshauri rais ni akili kweli hiyo? Rais ni asset ya serikali ndo mana...
Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Pia soma...
Baadhi ya Wazalendo wameanza kufukua vielelezo kwa lengo la kuthibitisha aliyoyasema ndugu Humphrey Polepole kuhusu Nchi Kutafunwa.
Na sisi bila hiyana na labda kwa manufaa ya wanajf wapya na...
MASACHE KASAKA ACHUKUA FOMU INEC YA UBUNGE JIMBO LA LUPA
MGOMBEA wa Kiti cha Ubunge wa Jimbo la Lupa, Wilaya ya Chunya Kwa tiketi ya CCM Ndg. Masache Njelu Kasaka leo tarehe 25/8/2025 amechukua...
==Kuongezeka kwa rasilimali za sekta binafsi nchini kunatafsiri sera madhubuti za Rais Samia katika kukuza Uchumi shindani na jumuishi ,Mwaka 2020 thamani ya rasilimali zote za Serikali, Mashirika...
Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa Mining walinunua hisa katika Mgodi wa Mwadui. Mwishoni mwa 2024 na mapema 2025, Kampuni yake ya Pink Diamonds ilinunua hisa toka Petra Diamonds katika...
Wenye thamni ndani ya CCM wameteuliwa kuwa wagombea hata kama waliangukia pua kwenye kura za maoni.
Mwambieni Peter Msigwa kuwa CCM Ina wenyewe, na wenyewe siyo yeye.
Nimepitia andiko la Ansbert Ngurumo; nami nimeamua kutia meno kuwa ni wakati wetu sasa wafuasi wa Chadema kuorganize maandamano na kukinukisha. Hili linatakiwa kufanyika Sasa na Wala si baadae...
Mgombea Ubunge Buchosa, Eric Shigongo akizungumza na wananchi wa Kata ya Kazunzu alipopita kuwasalimia mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge jana Agosti 26, 2025 amewasisitiza Wananchi...
Hivi wao wangendelea na mpango wao wa kuwafanya watu wao watiki, halafu Lissu aendelee kufanya harakati za NO REFORMS NO ELECTION, kwani kingetokea nini?
Kishindo cha Lissu kimeifanya CCM nzima...
Nimeiona kwny JF twitter:
=========
UPDATES:
Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5...
Chama cha Demokrasia na Mendeleo kimeandaa Baraza la Kidigitali ambalo leo Agosti 27, 2025 kwa lengo la kujadili mustakabali wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Fuatilia...
Kukiwa na reforms wanazozipigania CHADEMA, haya yote yasingelikuwepo! Badala ya kuunganisha nguvu, mnaleta mzaha wa ujinga wa tutalinda kura. ngoja kiwapate, safi kabisa.
AU mnacheza mchezo huu...
Wanaotuambia tunawajua
Tunaoambiwa tunajulikana
Wameshatuona tumelala sana
Yani tumelala hadi tunakereketa
Wamechezea sharubu hadi tumezoea
sasa wameamua kuchezea kende na tunaelekea kuzoea...
Kimsingi toka kuanzishwa chaguzi za mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, CCM wamekuwa wakipitisha wagombea Urais kwa turufu za ubora wa wahusika.
Mwaka 1995 walimpitisha Mkapa, ila sote tunajua...
Mtoto wa Rais kwenye jamii kwa namna Moja au nyingine ni prominent figure.
Ndio maana kwa kawaida mtoto wa Rais anatakiwa kupewa Ulinzi muda wote. Watu wa Itifaki wanafahamu.
Vyombo vya habari...