Kishindo cha Lissu CCM yote ikavurugikiwa!

Kishindo cha Lissu CCM yote ikavurugikiwa!

Mkuu nakuhakikishia 100% TAL angeshaapishwa kuwa rais kitambo regardless ya ratiba za INEC!

Hata John Heche mwenyewe angeendelea na zile harakati zake motomoto za ^ngoma ipigwe dakika 90,^ matokeo yangekuwa yale yale!

Hakika chama tawala kiliona mbali sana. Bahati mbaya sana kwao haijasaidia kitu, labda kuchelewesha tu.

Siku nimeelewa mantiki ya mawe yatapiga kelele, hadi nilipoona vyombo vingi vya habari kitaifa na kimataifa vikipaza sauti ileile ya NRNE.

Same with akina Gwajima, Polepole, raia almost wote Kenya, viongozi wa dini, na kila mdau mpenda haki.

Hawa wakinyamaza, hakika mawe yatapiga kelele!
 
Sisiem kimsingi wameshaisiwa mbinu,wananchi hawawataki wanalazimisha,soon yatafika mwisho.
 
Hivi wao wangendelea na mpango wao wa kuwafanya watu wao watiki, halafu Lissu aendelee kufanya harakati za NO REFORMS NO ELECTION, kwani kingetokea nini?

Kishindo cha Lissu kimeifanya CCM nzima ichanganyikiwe na kukanganyikiwa.
Screenshot_2025-07-30-21-15-07-1.png
 
Back
Top Bottom