Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuelekea 2030 Rais Samia ameboresha miundombinu ya Usafiri na usafirishaji ikiwa ni Nguzo ya Uchumi Shindani hasa kwa kujenga mtandao wa reli ya SGR wenye urefu wa kilometa 2,809 kwa thamani ya...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja. Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa. Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni'...
0 Reactions
5 Replies
313 Views
== Uzalishaji wenye tija ni msingi wa kujenga uchumi mkubwa na shindani kama inavyosisitizwa katika Dira ijayo 2050! Katika kufikia hilo, upatikanaji wa mbolea Wakati Rais Samia anaingia...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa. Mkurugenzi Kafulila...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA NA JAPAN WAAHIDI KUKUZA USHIRIKIANO Tanzania na Japan zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta za biashara, uwekezaji, uendelezaji rasilimali watu...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Polepole sio pole tena, usiku huhuu tayari kashawalipua CCM na mume wao Rostam Azizi. Utajiri wa nchi anakabidhiwa Rostam alafu utamskia mama anasema analinda mali za nchi kwa maslahi mapana ya...
0 Reactions
2 Replies
376 Views
Ukiwasikiliza hawa wananchi wa Tarime, wana hasira sana, wasije tu wakampelekea mapanga Ester Matiko aliyeteuliwa na CCM... Wasikilizeni wananchi, wana jambo lao hapa ...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje. Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa. Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi...
2 Reactions
10 Replies
844 Views
Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima, Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta...
0 Reactions
3 Replies
504 Views
Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Wote wanaotumia hii Kauli, nawaweka kwenye Kundi la Watu wapumbavu, wahuni, wezi wa Nchi hii . Hoja zao ni zile zile Amani ikipotea tutaseka. Tuilinde Aman yetu . Kuna Maisha baada ya Uchaguzi...
1 Reactions
0 Replies
293 Views
Naona kila kona Tanzania mnalalamika kukatwa watu wenu mliowapogia kura na kuwataka wawe wawakikishi wenu Huu ni utaratibu mbovu na usiofaa maana ....
0 Reactions
6 Replies
532 Views
Habari wakuu,, Salamu ki ufupi tuu, Leo nilienda kwenye Ibada katika kanisa la arise and shine, Kwa Imani yangu Mimi binafsi ninamkubali sana Tena sana huyu bwana Bulldoza mwamposa.( Kila MTU na...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Historia ya Nchi yetu inaonyesha kuwa Uhuru wetu uliletwa kwenye Ibada kama hizi, au makongamano ya Dini. Jana tu Kanisa Katoliki lilikamilisha Mfungo wiki nzima kuombea Haki. Naomba kwa leo watu...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Majina ya waliokuwa wabunge wa CCM wenye majina makubwa, kama January's Makamba, Ummy Mwalimu, n.k wote wangehamia CHADEMA. Na mwaka huu CCM ingekufa kifo kibaya sana.
0 Reactions
1 Replies
222 Views
Ccm imebadili Katibu mkuu, imebadili Katibu MWENYEZI, imebadili Makamu Mwenyekiti Bara Je Bado haijamwaga oili mpaka ABADILISHWE Samia ndo.kumwagwa kwa oil kumefanyika Sawa sawa? Pole pole nijibu
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Kiukweli nasikitika sana kuona kadri miaka inavyoenda Jukwaa hili linazidi kuwapoteza watu ambao ni Great Thinkers na badala yake Jukwaa kwa sasa lmejaa watoto ambao ata kung'amua michezo kama hii...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom