Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo...
35 Reactions
87 Replies
3K Views
Wanabodi, Tafsiri ya Neno Ujinga. Naomba nianze na tafsiri ya neno mjinga maana watu humu hawakawii kusingizia watu kuwa tumetukana watu humu!. Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu neno...
47 Reactions
136 Replies
16K Views
Mchungaji Matsahi amesema tangu afike Dar miaka ya mwishoni ya 1990s ndoto yake ilikuwa kumiliki nyumba Masaki kwa uwezo wa nguvu za Mungu na Hatimaye ndoto yake imetimia Mchungaji Matsahi...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Wasalaam. Hawa ni wale viongozi wenye tabia za kimalaya malaya kwa mujibu wa nukuu ya mwl nyerere. Watanzania wote wanalia kutokana na mifumo mibovu ya uchaguzi lakini cha kushangaza huyu bwana...
4 Reactions
7 Replies
772 Views
Gazeti la Mwananchi katika habari yake ya leo inayohusu list ya walioteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM mkoa wa Mwanza limeandika mgombea jimbo la Morogoro ni Kafiti, hilo jimbo liko wapi kule...
0 Reactions
7 Replies
793 Views
Tangu 15 Hadi 25 kesho ndiyo dedilaini ya jamaa Gwaji. Tutegemee nini kutoka kwake.
0 Reactions
3 Replies
496 Views
No Reforms ,No Election unazidi Kutia watu matumbo joto. Inasemekana, MFUMO unataka kuwalazimisha baadhi ya WANACCM wale wanaoonekana Timu Magufuli , Kuhamia Chama chochote Cha Upinzani , wawape...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kumekuwepo na taarifa za uongo na upotoshaji zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa: Mfumo wa Data za Uchaguzi unaotumiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) umeunganishwa na...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
CCM ni taasisi kubwa yenye uzoefu mkubwa na ukomavu kisiasa hivyo huendesha mambo yake kisayansi. Wahusika wajirekebishe madhaifu yao waache kulalamika na wajiandae kuwaunga mkono wenzao waliteuliwa.
0 Reactions
2 Replies
260 Views
Kwenye siasa kuna visasi vingi, chuki, husuda , usaliti, kiburi, jeuri , dharau, huko kumejaa huwa ni kutesa kwa zamu leo kwangu kesho kwako. Wabunge hawa wameondolewa kwa chuki visasi na...
32 Reactions
68 Replies
8K Views
Kwa Mara nyingine tena, Dola imethibitisha kua ndio inayokitumia chama Cha Mapinduzi kuendesha Nchi. Adui wa Siasa Safi, Utawala wa Sheria na Maendeleo ya Watu ni DOLA inayokitumia CCM. Mwl...
11 Reactions
94 Replies
3K Views
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Yule kipara aliyetemwa na wana Bumbuli, kwenye mitandao ya jamii kuna chawa wake wanasema eti ameachwa kwa vile ndiye atakuwa mbadala wa Emmanuel Nchimbi kwenye u- Katibu Mkuu wa CCM. Yule...
0 Reactions
48 Replies
2K Views
Huyu Mama Migiro the bright woman , Live longer Mama. Wewe ni hazina.
2 Reactions
5 Replies
380 Views
Kichwa cha Habari: Wito wa Dharura kwa Uongozi wa Kimaadili na Kiroho Kuhusu Masuala ya Haki na Uadilifu wa Kitaifa Mheshimiwa Mhashamu Dkt. Maimbo Mndolwa, Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Ndugu wanajamii naomba nilete shauri Kwanini biblia imekuwa na tafsiri nyingi kiasi kwamba kuna biblia ya vitabu 88 hiiniya muethiopia,na 78,hii niya kikatoliki,na 66, hii niya king Jemsi ya...
1 Reactions
1 Replies
200 Views
Kwa yanayotokea sehemu mbalimbali hapa hapa nchini ccm ni kama wamechokakutawala. Baada ya matokeo ya mchujo wa wagombea wa nafasi za Bunge kutoka pale Dodoma nimeamini Sasa hivi wananchi...
1 Reactions
4 Replies
453 Views
Wana-Ccm wenzangu ndugu Robert Heriel Mtibeli , mfikirieni kumteua . Kijana huyu anatufaa katika Serikali , Elimu yake ni Shahada . Umri 30s Atatufaa katika kutuandikia hotuba , n.k Asante
2 Reactions
26 Replies
918 Views
Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!. Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na...
31 Reactions
164 Replies
12K Views
https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2 IN BRIEF: 1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa...
29 Reactions
85 Replies
6K Views
Back
Top Bottom