Kutoka uwanja wa ndege, Dar almasi iliyokamatwa ikiwa inataka kusafirishwa kwenda nje ya nchi. Ilisemwa ina thamani ya dola za kimarekani milioni 14 lakini kamati imebaini ina thamani ya dola...
“Iwapo angalau robo ya watu duniani wangeelewa siasa ni nini na kutambua umuhimu wake katika maisha ya kila mtu, basi binadamu wasingeweza kutawalika kirahisi.” – Alloyce, P.R.
Haya yamesha kula nyama za watu, ukiisha anza kula nyama za mtu huwezi kuacha.
Yameshakuwa manyangau , hayakamatiki.
Tunatokaje hapa tulipofikia? Tumpuuze Polepole au tumuunge mkono for a second...
Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari...
Wakuu
Hayati Magufuli kuna wakati hakuwa na mchezo na wabadhilifu wa mali za umma, ingawa kwa sasa tunasikia wamerudi kwa kasi ya 5 G wakiendelea kujitanua
Hayati aliwahi kusema yeye hajali...
Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia...
Hii kauli ya Polepole akimkumbusha Mteuzi wake aliyemtoa Jalalani bado sijaielewa vizuri
Aliyemwelewa anifafanulie niko kwenye Sabato
Nawatakia Sabato njema 🙏
Jamii Forums inakuletea wasifu wa wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa mwaka huu 2025. Tutaendelea kutoa nafasi kila wasifu unapopatikana kupitia uzi huu.
1. Mgombea urais wa CCM, Samia...
Kwa mujibu wa Polepole huyu Angela Kizigha anaonekana ni untouchable. Kwamba Madam Kizigha alikuwa ana kesi ya ufisadi wa kusambaza sare na vifaa vya jeshi la polisi na alikuwa akamatwe na...
Hellow!
Niliwahi kuandika humu thread kuhuzunika juu ya ndugu wanaoripoti ndugu zao kufia mapokezi Katika hospital za umma kwa kukosa msaada wa matibabu sababu hawana pesa.
Mbaya zaidi miili ya...
Hakuna mtu wa kawaida kuweza kupata tenda nzito nzito za majeshi bila mkono wa mwanasiasa mkuu katika nchi.
Haya ni maswali muhimu.
1. Anjela alipataje pataje ile tenda ya ununuzi wa sare za...
Assalam alaikum
Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Kitendo cha Gwajima...
Tuliokuwa wakubwa miaka hiyo tunakumbuka sana. Tunakumbuka nini kilitokea na sababu ilikuwa ni nini. Ndo muone kuwa hili genge lina fanya kazi miaka na miaka. Siyo jipya.
Mnakumbuka lengo la...
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori...
Habari zenu wakuu,
Mimi kama mtanganyika naishauri serikali yangu tukufu ihamishie makao makuu ya mkoa mpya wa Geita wilaya ya Chato kwa sababu mpaka 2020 patakuwa manispaa kabisa, kutakuwa na...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume...
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.
Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege...