Yawezekana ACT WAZALENDO wakaanza kampeni Bila mgombea wa jamuhuri?
Lakini niliona hta Mwinyi alichukua peke yake baada ya Samia kuchukua
Je yupi ni WA muhimu
Kati ya mgombea wa jamuhuri na...
‼️TUJIKUMBUSHE‼️
Ripoti ya 2018 ya CAG - Mkaguzi na Mdhibiti mkuu kuhusu Daissy General Traders ilisema:
“Nilifanya Ukaguzi huu kufutia maombi kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
Kwa mnyukano huu jinsi ambavyo sasa umekuwa dhahiri na watu kutajana majina na kutuhumiana juu ya kifo cha Magufuli basi ni dhahiri kabisa ili wazalendo wawe wameshinda basi kwa vyovyote vile...
Jeshi la Polisi kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 66 cha Sheria ya Udhibiti wa Silaha na Risasi ya Mwaka 2015...
Mwanadada wa mapingili shingoni Out
Jeni wa kuhusu utaratibu wa muhaga maaaa Out
Ndumba Aroooo out
Wa ma mineral out
February mauzi out
Kwanini mtoto wa millet sioni jina
Tusubiri
Britanicca
CCM itakuwa kama ZANU ya Zimbabwe. Mugabe hivihivi alipuuza watu akabaki madarakani lakini nchi ndiyo ikamuacha. Kubali madarakani bila nchi kuwa moja ni mbaya. angalieni zimbabwe na ubishi kama...
Nikiwaita wajinga mnakasirika.
Kutwa kutwa mnakesha kufuatilia habari za uzushi kutoka kwa Mange Kimambi na Polepole ambao wao pia ni wana CCM ambao mfumo umewakaanga.
Polepole ana madudu mengi...
1. Bei ya bundle ni kubwa kuliko Cuba? Maana wanyonge tunateseka kimya kimya hakuna pa kusemea. wengine biashara zetu bila internet tutakufa njaa.
2. Internet ni huduma si biashara Born town...
Huyu mtu ameshachafuka sana na ni hatari kwa kundi zima kwani kuna siku anaweza kutakiwa kuwataja wenzake katika kundi.
Kwa msingi huo, mimi naona yuko hatarini kwasababu wanasiasa...
Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York...
Kufikiri unaongoza nchi wakati 50% na zaidi ya watanzania wanajua hujafanya chaguzi !!! ni ujinga.
Watanzania wa leo sio watu ambao wanachelewa kujua ukweli kwasababu ya techmnologia na elimu ya...
MBIO ZA KUKINADI CHAMA CHA MAPINDUZI MKOANI GEITA ZAANZA KWA KISHINDO
📌 Majimbo 7 kati ya 9 yapita bila kupingwa
📌 Kata 92 kati ya 122 zapita bila kupingwa
📌 Maelfu wakusanyika kusikiliza Ilani...
#Uchaguzi2025 "Serikali yangu itakuwa ya mchaka mchaka ya masaa 24 na baraza langu la mawaziri litakuwa baraza la mawaziri 15, lakini hilo baraza litafanya kazi utadhani kuna mawaziri 100 kwa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, leo Septemba 2, 2025, akiwa kwenye mkutano wa kampeni katika Kata ya Saranga, amewahamasisha...
Mama hajiamini ingawa ni Rais kwasababu anaogopa wale ambao anafikiri wanamzidi ujuzi.
Kwasababu ya kutojiamini kunaleta utamaduni wa kujipendekeza ili Mama aweze kukuamini kama wewe ni msomi...
Huenda wengi wenye mawazo au mtazamo wa kutoshiriki uchaguzi au kutokupiga kura uchaguzi mkuu wa october2025, wanapitia changamoto hiyo mtambuka ya afya ya akili kwasasa, na kujikuta wakiwa na...
Mr President,
Ningekuwa na muda ningekueleza mengi sana. Muda wangu ni kidogo sana ndiyo maana nashindwa hata kupost mambo mengi kuhusu taifa hili hapa JF. Ninatuma post hii si kwa lengo la...
Polepole yupo sawa kabisa gas za kupikia na mafuta Cuba ni ndogo sana kwasababu hawapati na hawalipi bei ya sokoni wanapewa kama bure kutoka Venezuela kwasasa Cuba nayo inapeleka madakrati na ni...