GE2025 Kinabo: Kuna dalili za uchaguzi kuwa na haki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,096
Reaction score
7,128
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, leo Septemba 2, 2025, akiwa kwenye mkutano wa kampeni katika Kata ya Saranga, amewahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura akibainisha kuwa dalili za uchaguzi huru na wa haki zinaonekana.

Kinabo amesema kuwa tangu alipokwenda kuchukua fomu, kuirejesha na hatimaye kuteuliwa, ameona mazingira yanayodhihirisha mchakato huru na wa haki, kwani hajakutana na changamoto za kuenguliwa.

Ameeleza kuwa siku alipopewa fomu, alielezwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa ana uhuru wa kuirudisha mapema ili kama kutakuwa na makosa katika ujazaji yafanyiwe marekebisho kabla ya muda wa mwisho, jambo alilolitafsiri kama dalili ya uchaguzi wa kidemokrasia.

Ashindwe mwenyewe sasa, si kakubali mambo ni shwari! Baada ya uchaguzi tusije kumsikia akilia kilio cha yatima hapa
 
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, leo Septemba 2, 2025, akiwa kwenye mkutano wa kampeni katika Kata ya Saranga, amewahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura akibainisha kuwa dalili za uchaguzi huru na wa haki zinaonekana.

Kinabo amesema kuwa tangu alipokwenda kuchukua fomu, kuirejesha na hatimaye kuteuliwa, ameona mazingira yanayodhihirisha mchakato huru na wa haki, kwani hajakutana na changamoto za kuenguliwa.

Ameeleza kuwa siku alipopewa fomu, alielezwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa ana uhuru wa kuirudisha mapema ili kama kutakuwa na makosa katika ujazaji yafanyiwe marekebisho kabla ya muda wa mwisho, jambo alilolitafsiri kama dalili ya uchaguzi wa kidemokrasia.

Huyu si Kinabo bali Kichawa kwa vile chaumwa wote ni machawa wanaoumwa na CCM
 
Back
Top Bottom