Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mawazo yangu nafikili nch tutakuja kua huru pale taasisi mbili muhimu zitakapokuja kupata viongozi wenye akili na wenye kujielewa. Wenye kujali maslai ya taifa zaidi kuliko kujali maslai yao...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Baada ya Mwabukusi kutoka kuongea na Rais samia, Hope ilijaa kwa wana JF kuwa soon Lisu ataachiwa. My heart is bleeding, HOPE IS FADING AWAY!
14 Reactions
81 Replies
3K Views
Dar could buy Dowans under proposed law Tanzania has come up with a Bill, the proposed Public Procurement Act, 2010, that if passed by parliament, will pave the way for the amendment of...
1 Reactions
63 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mgombea wa ubunge wa jimbo la Makambako amesema mwaka 2020/2021 hatukuwa na ruzuku ya pembejeo za kilimo, lakini ni Samia Suluhu...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Wakuu leo nimewaza tu. Ukute kigogo ni huyu pole pole. Uzi tayari oktoba tunatoka No reforms no election kataa wahuni
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Kampeni/matamasha yanaendelea watu walewale wanaendelea kusombwa kwa malori kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Akiwa kwenye mkutano mmoja wa kampeni juzi, mgombea wa CCM Bibi...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali. Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa...
5 Reactions
13 Replies
843 Views
Mgombea ubunge wa jimbo la Tunduma kupitia chama cha mapinduzi CCM amewaapisha wanatunduma kumpigia Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama hicho Samia Suluhu Hassan, amefanya hivyo leo katika...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Walioahidi kushona sare kumpokea Mgombea Urais CCM Dk. Samia wameanza kuwasili uwanja wa Mwaka Tunduma Mkoani Songwe.
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Tarehe 29.08.2025, Ukurasa rasmi wa Ikulu Mawasiliano ulichapicha taarifa zenye kichwa kisemacho "Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
2 Replies
368 Views
#HABARI Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na chaguo kati ya amani au vita siku ya leo Jumatano Septemba 3, 2025 alipokuwa akifanya gwaride kubwa zaidi la kijeshi nchini...
0 Reactions
2 Replies
542 Views
Naanza kumaizi kuwa upo umuhimu wa jamii yetu kujifunza maarifa ya ujenzi wa hoja ili kupunguza mitindinganyo ya hoja inayoendelea jambo linalowapa nafasi wachache wanaojua kujenga na kubomoa hoja...
0 Reactions
4 Replies
326 Views
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema akichaguliwa kuwa Rais atahakikisha Viwanda Vidogo vidogo vya kusindika Matunda vinaanzishwa katika...
0 Reactions
1 Replies
299 Views
My Take SSH anaendelea kujitanabaisha kwamba she is exceptional in delivery ======= Chini ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, mapato ya ndani ya...
1 Reactions
1 Replies
208 Views
Wakuu, Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo chama hicho kitapewa ridhaa ya kuongoza dola, kitatoa bodaboda milioni moja kwa vijana kwa...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Naomba kuuliza kama hukumu ya binti wa Yombo ilishatolewa au bado, maana ni kimya sana hadi sasa.
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."
4 Reactions
69 Replies
5K Views
CCM mnkuwa mnasomba watu na wakati Kariakoo mliwalazimisha machinga wafunge biashara zao ili waje kwenye kampeni zenu Kawe? Mnawalazimisha watu kuja kwenye kampeni zenu na kuwatisha kuwa lazima...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Mwalimu Nyerere alipokuwa analeta Ujamaa kwa watanzania, aliponda sana masuala ya kuchukua fedha za nje, na moja ye hotuba yake aliwaponda sana wanaotaka mishahara mikubwa kwamba hela tunapata...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Mgombea wa Urais wa Chama Makini Amshukia Polepole. Aendelea kumnadi Samia. Katika hali ya kipekee katika siku ya kwanza ya uzinduzi wa kampeni za Chama Makini, mgombea wa Urais wa chama hicho...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…