Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Asha-Rose Migiro, amefafanua kiundani sababu zilizoifanya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho kuvipongeza vyombo vya ulinzi na...
Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza umuhimu wa vyombo vya ulinzi na usalama kutochukulia amani ya nchi kama mazoea. Anabainisha kuwa majaribu yaliyopita yametoa mafunzo, na hivyo hakuna taarifa...
Huu ni upuuzi kama hatujapata nani aliua ndugu zetu! Haki ya waliokufa iko wapi, nani awajibike.
Unaleta mambo ya uwanja ili akacheze nani wakati tuko kwenye msiba as of 29th October 2025! STOP...
Kombo: Rais Analaumiwa Wazazi Hawalaumiwi— "Tumuoneeni huruma kiongozi wetu"
Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje, jana Mei 26, 2026, Balozi Mahmod Kombo amewataka Wabunge kumlinda Rais...
Katika mahojiano ya hivi karibuni na M&S Podcast, Mahita amesema kuwa mamlaka za kiserikali zilionesha hekima na ustahimilivu mkubwa kwa kukataa kuingizwa katika mtego wa mapambano ya ghasia...
Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekiel Wenje, ambaye kwa sasa amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akifanya mahojiano na Chombo cha habari...
Habari za Jumapili.
1. Ndugu zangu bado tupo kwenye Wajibu.
2. Vyovyote iwavyo asitokee mtu akauawa. Ni hatari sana.
3. Muibie mtu atakusamehe ukimrudishia fidia. Mfunge MTU kwa kesi hata za...
Kwenye mahojiano na Jamhuri TV, Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema kwenye Vita ya Kagera, vijana wengi waliuawa na adui. Aidha, ukilinganisha na takwimu zinazozungumziwa sasa, idadi ya waliokufa...
Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye...
"Mimi ni mtu wa kusema haki, mimi ni mtu wa kunyoosha maelezo, mtu wa kusema ukweli. Sasa kuna vitu ambavyo naona nikiwa upande huu, ile umimi inashindwa, naanza kuwa bata wakati natakiwa niwe...
Wakuu,
Rais Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili...
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23...
Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa kupitia kituo cha Redio cha Nuru FM, amesema;
"Mimi ni mtu wa kusema haki, mimi ni mtu wa kunyosha maelezo, mtu wa kusema ukweli. Sasa kuna vitu ambavyo naona...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha majibu rasmi na mazito kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, kikikataa tuhuma zote za ukiukwaji wa sheria zilizoelekezwa dhidi yake...
Summary
At least 13 killed in shooting at one cafe in city of Mwanza - witnesses and video
Police targeted civilians far from protests, witnesses say
UN experts estimate at least 700...
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu, amesema hawakuona ushahidi wowote unaoonesha kuwa vijana kutoka nchi jirani walikodiwa kuja kushiriki katika maandamano...
Chanzo kikuu cha matukio ya Oktoba 29 kinatokana na mkusanyiko wa malalamiko ya muda mrefu ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ambayo yalikuwa yakijadiliwa waziwazi katika mitandao ya kijamii kwa muda...
Rais Samia Suluhu amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shabani Ally Lila, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya ghasia ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.