Polepole yupo sawa kabisa gas za kupikia na mafuta Cuba ni ndogo sana kwasababu hawapati na hawalipi bei ya sokoni wanapewa kama bure kutoka Venezuela kwasasa Cuba nayo inapeleka madakrati na ni...
1. Ndugu zangu yale maombi ya Baba Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima (PhD) yamejibu?
2. Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe!
Lucas Mwashambwa
Isanga family
ChoiceVariable...
( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee
Salaam wana jamvi.
Mara trekta milioni...
POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI
Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:
1. Mradi wa JNHPP ni...
Rostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii.
Inawezekana...
Wajumbe wa CCM walimpa Samia ushindi kwa 100%.
Mlikuwa mnasambaza video ile jamaa anasema mgombea (Rais Samia )atoke chumba cha kupigia kura mukiwa na lengo la kuuaminisha umma kuwa Samia...
====
Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM...
Kwa wengi waliofuatilia video za Hamphrey Polepole, watakubaliana nami kuwa kuna mambo mengi anayojua kuhusiana na kuhujumiwa kwa taifa letu.
Mojawapo ni madai kuwa wana mtandao hatari ndani ya...
Tarehe hiyo Imelazimika kupangwa "kinguvu" baada ya kelele za Wadau wa Hapa JF na kwingineko.
Kiukweli hawakutaka kabisa kupanga Tarehe Mwezi huu, Tunataka Lissu any'ongwe kabla ya Samia...
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa laki...
Kituko hiki kimezungumzwa na mgombea mwenza wa Chama cha Demokrasia Makini.
Haya ni matokeo ya kuachia masuala ya siasa mikononi mwa wajinga.
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati...
Watanzania bado tunaogopa.
Zaidi ya miaka 60 tumewaamini, tumewavumilia, na tumewapa mamlaka ya kutuongoza. Lakini mpaka leo hali za maisha ni ngumu, ufisadi umetamalaki, rushwa imekuwa mfumo wa...
“Simulizi ya Moyo na Koti Jeusi”
Kuna wakati, nchi yenye mwanga wa jua mchana kutwa iliongozwa na mtu aliyekuwa na mtetemeko usiojulikana, mtetemeko wa kifua, lakini pia wa dhamira. Alikuwa na...
1. Ndugu H. Polepole leo ameanza kuelezea bei ya mtungi wa gesi wa Kilo 20 Cuba ambayo ni 2000/= TZS na kusisitiza hapa Tanzania tunapigwa na Mafisadi, huku Gesi tunayo lakini mtungi ni 60,000/=...
Wakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi.
Sasa...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Jawadu Mohames amepinga madai ya baadhi ya wanasiasa na wanaharakati kwamba chama hicho kimekuwa kikiwabeba wananchi kwa mabasi na...
Naibu Katibu Mkuu wa Twariqa Tanzania, Sheikh Haruna Hussein, ametoa onyo kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kada wa CCM Humphrey Polepole akimtaka kuacha mara moja kutoa kauli...