"Tutaacha yote, Tutakesha kumsubiri kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan utumishi wake umeyagusa maisha yetu kwa namna ya kipekee kwa hakika OktobaTunatiki" sauti hizi za makundi mbalimbali...
Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema hana pingamizi lolote kwa mkewe, Salma Kikwete kuendelea kufanya kazi za uwakilishi bungeni
Amewataka wananchi wa Jimbo la Mchinga, lililopo mkoani...
Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa tena leo katika Mahakama Kuu, kwa ajili ya usikilizwaji wa mapingamizi katika kesi ya uhaini inayomkabili.
Leo...
Huwa navutika kumfuatilia kila anapofanya mkutano wa kisiasa, matokeo yake naishia kuwa dissapointed,
Hauishi mkutano hajataja Heche, CHADEMA n.k
Wataalamu huko CCM msaidieni huyu mzee wetu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza...
Nakushauri kwa mara ya mwisho Silvester Mwakitalu.
Angalau wewe mabadiliko madogo ya mwisho ya Katiba hii mbovu tuliyonayo yalikupa immunity kama Majaji.
Kwenye shauri la Lissu una option mbili...
❇️ ASANTENI SINGIDA KWA MAPOKEZI MAKUBWA, HII NI IMANI KUBWA YA USHINDI WA KISHINDO KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025
Asanteni sana kwa shukurani zenu mlizopeleka kwa...
Mwenyekiti wa Mamalishe Tanzania, Havijawa Omary, amewaomba viongozi wa wajasiriamali wa Mkoa wa Singida kumsemea vizuri Rais Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Jeshi la Polisi limezingira Kanisa Katoliki Kirumba, Mwanza, ambapo CHADEMA Kanda ya Victoria walikusudia kuadhimisha Chadema Mashujaa Day katika ukumbi wa Kanisa hilo.
Mpaka sasa watu kadhaa...
Wakuu,
Nimekutana na video hii ya Sheikh mmoja akisema kwamba taifa lolote haliwezi kutengemaaa kama Rais ni Mwanamke.
Sheikh anasema kwamba mwanamke anaweza kuwa hadi Waziri lakini kama taifa...
Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani...
Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka
Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle...
Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania upo kwenye jaribio hatari, kama vile kulazimisha giza na nuru kuoana kwa nguvu.
Hivi karibuni, hatua zilizochukuliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania...
JF sio public relations office ya Serikali.
Ni jukwaa huru katika sekta binafsi lenye kupokea maudhui yanayotengenezwa na watumiaji kupitia utaratibu wa free cloud journalism
Yaani...
Katika zama za kidigitali, taarifa si tu chanzo cha maarifa ama elimu bali pia ni nguvu ya kijamii na kisiasa. Haki ya kupata na kulinda taarifa binafsi imekuwa moja ya mihimili ya demokrasia na...
Akiwa wilayani Bahi mkoani Dodoma leo Jumanne Septemba 09, 2025 kwenye muendelezo wa kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi...
Vyombo vya ulinzi na usalama kwa maana ya usalama wa taifa, jeshi la wanannchi, jeshi la polisi, takukuru, jeshi la uhamiaji tuzeni kila kipisi, bunje ya taarifa ya matumizi mabaya ya madaraka ya...