Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Pinda amesema Tanzania ni nchi ya Amani na Dkt Samia amekuwa akihubiri hilo, hivyo wananchi Wasidanganywe na wababaishaji ambao wanataka kuharibu Amani ya...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Leo, baadhi ya wanachama wa CHAUMMA waliokuwa awali CHADEMA wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na changamoto kadhaa, ikiwemo ufisadi, unyanyasaji dhidi ya wanawake, na kutowapa mikopo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Tanganyika Ilipata Uhuru Mwaka 1961 Japo 1964 Uhuru Kamili Wa Nchi Tanzania Ukapatikana,ingawa Tanzania Ilipata Mwanaume Mwanasiasa Mwenye Heri Julius Nyerere Mwaka 1958 Alivyochaguliwa Kuwa...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Alipozungumza kwenye mkutano wa rais amesema Rais ameleta utulivu wa kisiasa kwa nchi yetu hasa baada ya kuunda kikosi kazi. Amesema Rais Samia ana dhamira ya dhati ya kufanya mambo makubwa kwa...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
  • Closed
Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya...
15 Reactions
86 Replies
5K Views
Mwigizaji maarufu kama Mzee Mbembe amesema, Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imewafanyia makubwa wasanii nchini ikiwemo kuwapa fursa ya kusafiri nchini Korea Kusini...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Binafsi sidhani kama ni uamuzi sahihi kuifungia JamiiForums nchini Tanzania. Bila shaka wangefungia jukwaa husika lililokiuka maudhui. Na si kufungia mtandao. Huo ni uonevu na unyanyasaji wa...
3 Reactions
16 Replies
672 Views
Ni jambo la kushangaza kumuona nje ya gereza ilhali kesi ufisadi zinaendelea. Siyo suala la kumpenda au kumchukia mwanasiasa, bali ni kuhusu kuheshimu utawala wa sheria. Kama mtu ameshtakiwa...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Mama ni mama lakini si mama wakambo mana mama wa kambo yupo kwa ajili ya maslahi ya wanawe na ndugu zake wakalibu lakini ni nadra mama wa kambo kujali watoto wa mumewe...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekana kuhusika na matumizi ya namba feki za magari zenye alama SSH 2530. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Hii hadithi tumeisikia kuanzia Nchi imepata Uhuru. Najiuliza umeme utakasambazwa nchi nzima ndo huu huu unaokatika kila baada ya masaa nane au? My take suala sio kusambaza umeme swali ni huo...
3 Reactions
17 Replies
697 Views
MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA BALOZI EMMANUEL NCHIMBI KISHAPU – SHINYANGA Mgombea Mwenza wa Nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Emmanuel Nchimbi, akiwasili Kishapu mkoani...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amepokewa kwa kishindo alipowasili kwenye uwanja wa...
0 Reactions
3 Replies
368 Views
Maelfu ya vijana mkoani Tabora wamejitokeza kwa maandamano ya amani wakielekea kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt...
0 Reactions
8 Replies
563 Views
Sehemu ya mazungumzo na Wakili Peter Madeleka ambaye ni Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia chama cha ACT-Wazalendo, na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kivule 2025 - 2030 kuhusu sababu...
0 Reactions
13 Replies
951 Views
Mgombea urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Gombo Samandito Gombo amevitaka vyombo vya dola Nchini kutenda haki kwa vyama vyote vya siasa kwakuwa vipo kwajili ya kuwahudumia watanzania...
0 Reactions
1 Replies
278 Views
"Maendeleo tunayoyataka ni maendeleo ya watu, yaletwe na watu wenyewe, yaendelezwe na watu wenyewe, yawafuate watu kule walipo. Hii ndiyo maana halisi ya uchumi jumuishi." - Mgombea Urais wa...
0 Reactions
7 Replies
393 Views
Mtiania wa urais Zanzibar kupitia chama cha AAFP, Said Soud Said (kushoto), akikabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, wakati...
1 Reactions
1 Replies
246 Views
Nimeona video ya mgombea urais Zanzibar kupitia AAFP, Said Soud Said akifurahia kukabidhiwa gari na Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Kasahau kama nae ni mgombea Urais kaanza kumnadi mgombea urais...
2 Reactions
1 Replies
272 Views
Wamama wa Gerau wameonesha shamrashamra na vibe la aina yake katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Jimbo la Nachingwea Shughuli hiyo ilipambwa na nyimbo, nderemo na vifijo, ishara ya mshikamano...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…