Elections 2015 12 July 2015 Ni Tarehe Ambayo Tanzania Imepata Uhuru Mara Ya Pili Kutoka Kwa Wala Rushwa

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Tanganyika Ilipata Uhuru Mwaka 1961 Japo 1964 Uhuru Kamili Wa Nchi Tanzania Ukapatikana,ingawa Tanzania Ilipata Mwanaume Mwanasiasa Mwenye Heri Julius Nyerere Mwaka 1958 Alivyochaguliwa Kuwa Waziri Mkuu,ambaye Alisimamia Haki Usawa Na Ukweli, Na Maono Ya Mbali, Kwa Kuchukia Rushwa, Uzembe, Ukanda, Ujinga, Tanzania Ilitambalia Katika Misingi Hyo Kwa Miaka Ya Uongozi Wake, Lakin Alipo Ng'atuka Mambo Yalikuwa Mabaya, Rushwa Ikashamili, Uzembe Na Ukabila Ukaanza, Kiongoz Aliyetegemea Kuyatokomeza Haya Alikuwa Benjamin Mkapa, Lakin aka face challenges,

Kikwete hatukutemea alete mabadiliko Maana Ndo Alizungukwa Na Mtandao mbaya, dalili zikaonesha wala rushwa Na Wabadhilifu Wa fedha wangeendelea kuwa Ikulu kama Edward Lowassa angepita,
Hapa Ndipo Mungu Akatengeneza Muujiza Juu ya Lowassa na Membe Wakatofautiana baraka zikalijia Taifa La Tanzania Kupitia CCM Kwa kuepuka kikombe cha Lowassa na Membe,

Tarehe 12.July.2015 Tukampata Magufuli John Pombe Joseph, ni tarehe ya uhuru wa pili Wa Tanzania
Namshauri Magufuli japo ataleta uhuru wa uchumi lakin asije akajidanganya uhuru wa watu akaunasibisha na madalali wa mabeberu kama Rostam Azizi, Nyalandu, na wengine wapinzani ambao watatumika kuhujumu nchi yetu,
Hapa najua yajayo yana ugumu kuyatekeleza lakin usidhani mtu Kama mbowe au Lissu au Msigwa, watafurahia uongozi makini wa Magufuli kuna watu ambao mnawaona wapinzani wa kweli kumbe wachumia tumbo, pia hata ndani ya CCM wapo si upinzani tu,

Najua ukishapitishwa na CCM we ndo rais ajaye ila kuwa makini na watu watano hawa si wazuri
A.Rostam Azizi
B.Tundu Lissu
C.Mbowe
D.Membe huyu kutopitishwa kwake si kwamba kusalimu amri hapana kaanza kazi ya chini chini utashtuka mbeleni sana
E.Lowassa huyu ana mizizi mingi hasa ndani ya Chama anasikilizwa sana na wachumia tumbo,
 
Wapinzani washenzi sana
 
Wakiondoka ccm ni wala rushwa ila wakibaki ccm ni wasafi nchi ya wajinga huongozwa na watu wajinga
 
unapotoa post hebu jaribu kufikiria mara mbili unachokizungumzia
Kwa akili yako unafikiri kwa nn hao maraisi wote waliopita wameshindwa kufanya hayo uliyoyaandika??
Unafikiri ni muujiza gan tuutegemee kwa huyo MAGUFULI ili aweze kufanya mambo ambayo wenzake wameshindwa??
 
Kwani hata Lissu ana weza fanya hayo?

Tarehe 12.July.2015 Tukampata Magufuli John Pombe Joseph, ni tarehe ya uhuru wa pili Wa Tanzania
Namshauri Magufuli japo ataleta uhuru wa uchumi lakin asije akajidanganya uhuru wa watu akaunasibisha na madalali wa mabeberu kama Rostam Azizi, Nyalandu, na wengine wapinzani ambao watatumika kuhujumu nchi yetu,
Hapa najua yajayo yana ugumu kuyatekeleza lakin usidhani mtu Kama mbowe au Lissu au Msigwa, watafurahia uongozi makini wa Magufuli kuna watu ambao mnawaona wapinzani wa kweli kumbe wachumia tumbo, pia hata ndani ya CCM wapo si upinzani tu,

Najua ukishapitishwa na CCM we ndo rais ajaye ila kuwa makini na watu watano hawa si wazuri
A.Rostam Azizi
B.Tundu Lissu
C.Mbowe
D.Membe huyu kutopitishwa kwake si kwamba kusalimu amri hapana kaanza kazi ya chini chini utashtuka mbeleni sana
E.Lowassa huyu ana mizizi mingi hasa ndani ya Chama anasikilizwa sana na wachumia tumbo,[/QUOTE
 
unapotoa post hebu jaribu kufikiria mara mbili unachokizungumzia
Kwa akili yako unafikiri kwa nn hao maraisi wote waliopita wameshindwa kufanya hayo uliyoyaandika??
Unafikiri ni muujiza gan tuutegemee kwa huyo MAGUFULI ili aweze kufanya mambo ambayo wenzake wameshindwa??
Mkuu bado upo?
 
we ndo rais ila kuwa makini na watu hawa si wazuri
A.Rostam Azizi
Its not true, sii kweli hawa wote sii wazuri, so far, Rostam, aka "the king maker" is the best!.
ameipa CCM TV yake ya Channel Ten, tena nadhani ameitoa bure kwa sababu CCM ninayoiona mimi, haina the capacity kununua kitu cha pesa ndefu kama Channel Ten, CCM ingekuwa na uwezo huo, siku nyingi ingeimarisha Uhuru na Redio Uhuru.

Soon wema wake atauendeleza kwa kuipa CCM magazeti ya Mtanzania, Rai na Dimba.

Hivyo watu wengi, japo kwa nje wanaweza kuonekana kama wabaya, lakini kwa ndani ndio wema halisi wenyewe, halafu kuna watu wanaoonekana kama wema au wazuri kwa nje, lakini kwa ndani ndio mashetani wakubwa!.
Mkijua aliyepanga kumuua Lissu, huwezi kuamini kuwa ndiye yeye!, watu waone hivi hivi, umdhaniye ndiye, siye!.
P.
 
Back
Top Bottom