12.-(1) Binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa.
(2) Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na
kuthaminiwa utu wake.
13.-(1) Watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wanayo haki,
bila ya...
Zitto hakutoka siku wenzie wanatoka kumkataa Magufuli. Why? Aliamini Magufuli ataendeleza kama alivyokuwa anafanya kikwete. Kumpatia fungu, pesa za kujikimu.
Magufuli alikuwa anajua Zitto...
Leo Septemba 15, CHADEMA wanaadhimisha siku ya kimataifa ya Demokrasia kidigitali ka kuwakutanisha watoa mada #Barazani na kujadili hali ya kidemokrasia nchini.
Kauli mbiu ya mwaka huu...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan.
Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha...
Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini...
Kichwa cha habari hapo juu ni kauli rasmi ya Mwanasheria wa serikali...
Tangu lini mtu kumchanganya mwenzake ikawa kosa kisheria? Yaani Kuchangwanywa mpaka waombe huruma ya mahakama. Walimdhibiti...
Ama kwa hakika hakuna kulipo salama!
Kasikika Mwabukusi:
1. Kudogosha taarifa ya Polepole kuwa mifumo INEC na NIDA kusomana ni jambo la kawaida. Sina hakika alisahau kuwa kwa mujibu wa Polepole...
"Nilimwambia mtu mmoja nyumbani kwangu ninapotoka kunajulikana, watoto wangu wanaposoma kunajulikana. Sijifichi.
Pia soma > Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi...
GT
Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana.
Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi...
Huo ndiyo ukweli siyo polisi wote ni wanyama na kuna wengine hawapendezwi na yanayoendelea inchini kama kupiga watu kuteka mpaka kuuwa,
Naamini hawa tutakuwa nao na ndiyo watakaotupa habari zote...
Tunafeli hapa:
1. Nani asiyejua Lissu ni mwanzo wa mwisho wa wahuni? Kumbe anaachiliwa vipi ili aje kuwatia wao majaribuni?
2. Anapigwa vipi mwenzetu bila hatia hadharani tukishudia kama kuku wa...
Utetezi wa nne wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 11, 2025
===
Kilichojiri siku ya 3 kiko hapa: GE2025 - Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu...
Habari za Wakati huu;
Kwanza nianze kwa kusema tu kwamba kwa wale ambao jana walisahau basi jana ilikuwa ni Siku muhimu sana kwa historia ya nchi yetu.Kwa mujibu wa Taarifa za kihistoria Jana...
Katika uchaguzi wowote, mara nyingi taarifa huibuka kabla ya matokeo rasmi. Matokeo yanayovuja mtandaoni yanaweza kuchanganya mawazo na kuibua mashaka. Je, wewe unakabiliana vipi na taarifa hizi...
Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila...
Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mtangazaji wa Wasafi FM, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, na mtia nia Ubunge Jimbo la Kigoma mjini Kupitia CCM, amekea vikali kauli za...
We have an alert concerning with abduction,
You won't Get me that easily
Mbona wapo wengi tu wa kuwakamata? Why me ,
Nimeshatangaza Kuacha Siasa hivyo niko Busy na Mambo yangu
Pole C.A.G
Pole...
Tanzania Zanzibar hakuna maralia lakini Tanzania Bara kuna maralia ambapo inauwa watoto, wa mama wajawazito na hata wazee, lakini ulikuwa unawezo wa kumaliza ugonjwa la Maralia, na uwezo ulikuwa...
Wakuu,
Akiwa anazungumza kwa njia ya mtandao Dkt Wilbroad Slaa, amesema kwamba hata yeye kipindi akiwa kijana alishawahi kupewa kosa la uhaini akiwa na wenzake
Anasema aliyekuja kumsaidia kwenye...
Unapoambia fundi seremala kawa mpishi wa Serena Hotel, mtu unaweza tilia mashaka chakula atakachopika.
Nimejaribu sana ku Gogle hiyo kampuni iliyonunua korosho na huyo kiongozi wao aliyetia saini...