Katika uchaguzi wowote, mara nyingi taarifa huibuka kabla ya matokeo rasmi. Matokeo yanayovuja mtandaoni yanaweza kuchanganya mawazo na kuibua mashaka. Je, wewe unakabiliana vipi na taarifa hizi...
Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila...
Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mtangazaji wa Wasafi FM, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, na mtia nia Ubunge Jimbo la Kigoma mjini Kupitia CCM, amekea vikali kauli za...
We have an alert concerning with abduction,
You won't Get me that easily
Mbona wapo wengi tu wa kuwakamata? Why me ,
Nimeshatangaza Kuacha Siasa hivyo niko Busy na Mambo yangu
Pole C.A.G
Pole...
Tanzania Zanzibar hakuna maralia lakini Tanzania Bara kuna maralia ambapo inauwa watoto, wa mama wajawazito na hata wazee, lakini ulikuwa unawezo wa kumaliza ugonjwa la Maralia, na uwezo ulikuwa...
Wakuu,
Akiwa anazungumza kwa njia ya mtandao Dkt Wilbroad Slaa, amesema kwamba hata yeye kipindi akiwa kijana alishawahi kupewa kosa la uhaini akiwa na wenzake
Anasema aliyekuja kumsaidia kwenye...
Unapoambia fundi seremala kawa mpishi wa Serena Hotel, mtu unaweza tilia mashaka chakula atakachopika.
Nimejaribu sana ku Gogle hiyo kampuni iliyonunua korosho na huyo kiongozi wao aliyetia saini...
Wanajamvi,
Kuna watu wanastahili nishani. Kukosa uoga kwao hakuelezeki. Wakati Mwendazake anafungwa watu, kuharibu biashara zao, kuwapakazia makosa yasiyokuwa na dhamana, na wengine kuuawa, hawa...
Wakuu,
Katika mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Siha, mgombea ubunge Katika jimbo hilo kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mdoe Yambazi Azaria, alikua ni miongoni mwa...
Akizungumza leo Septemba 13, 2025 katika Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Mgombea Urais wa Chama hicho, Luhaga Mpina amesema:
Vyombo vya Dola vitupe ulinzi tu, usitumie nguvu ya Dola kupata ushindi...
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Mbunge wa Makete, na Waziri wa Nchi - Ofisi ya Rais (Usalama wa Taifa), Dkt. Hassy Kitine, lilivyowasili...
CHANZO SAHIHI
Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM.
Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika,
Hakuna jambo liliwashtua watu kama...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Iringa, imetangaza msimamo mkali dhidi ya wagombea wa nafasi za kisiasa wanaojihusisha na utoaji wa ahadi za uongo wakati wa kampeni...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
10 Septemba 2025
ARUSHA/NAIROBI – Tarehe 29 Agosti 2025, kampuni ya Match Masters Limited, ambayo ndiyo mtengenezaji mkubwa zaidi wa viberiti salama Afrika...
Za ndaaaniiii
Nchimbi Jana alitolewa kwenye kikao kwamba hahusiki,
Leo mpango, wa kujiuzulu unasukwa
Muda wowote kuanzia leo ataachia ngazi katika nafasi zote - Ugombea mwenza na katibu mkuu...
1. Toka nizaliwe sijawahi kusikia benki ina-upgrade system zaidi ya siku 3 mfululizo.
2. Hii system upgrade ya siku kadhaa mbona kama ni mpango Maalum wa kusafisha akaunti za Mafisadi? Wateja...
"Ndani ya Mkoa wa Tabora, tunakwenda kujenga madaraja 133, katika barabara ambazo tumeziweka kwenye ilani [...] Lakini pia, tunakwenda kuweka taa za barabarani 2,300." - Mgombea Urais wa Tanzania...
Chama cha ACT Wazalendo kimefafanua sababu zilizopelekea kukataa kupokea gari maalum alilokuwa amekabidhiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Luhaga Mpina...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina ameendelea kukazia msimamo wake na chama chake kukataa gari la mgombea urais lililotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)
"suala...
Siku nne kabla ya taarifa ya kuachia ndege yetu huko Canada, kuna watu walipoona Zoka anarudi nchini waka weka comments kwamba kashindwa kukomboa ndege zetu, ndo maana karejeshwa,
So Mara ya...