Waliofanya jambo hilo ni wanaulinzi, wahuni ama mamlaka za nchi lakini kitendo kile kilikuwa ni kosa kubwa sana.
Ni kosa la kupuuza katiba, sheria, haki na uhai wa taifa ambao kuundwa na uhai wa...
Wanaharakati wa mitandaoni, Innocent Paul Chuwa maarufu kama Kiduku, na Farida Mikoroti, waliokamatwa kwa tuhuma za makosa ya mtandao, wameachiwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati...
Mkulima na pia Balozi wa Shina namba 2, Kitongoji cha Mkwajuni, Kijiji na Kata ya Mwenge Mtapika, Wilaya ya Masasi, Nickson Amlima, ametangaza kutumia fedha alizopata kutokana na mauzo ya zao la...
Taabu za mwendokasi hazijaanza jana wala leo, Mabasi mapya yaliyonunuliwa na CCM yangesaidia kupunguza adha hii, Je, mabasi hayo yanafaida gani kwa watanzania, What are they for? Ni ubinafsi wa...
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ameahidi kuendelea kuufungua Mkoa wa Kilimanjaro kwa miundombinu ya barabara za lami, zege na...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mtama Mkoani Lindi Mhe. Nape Nnauye amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliangalia rekodi ya Mgombea wa Urais CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ya uadilifu...
Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri wa umma kisha chama ambacho kinajinasibu kipo kwa ajili ya kusaidia wananchi kinanunua mabasi mengi kwa gharama kubwa huku wananchi...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini (CCM) Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri kutafutwa kwa namna itakayowezesha kufutwa kwa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Hivi changamoto za Mwendokasi zimeaza leo? Mwendokasi tangu umeazishwa takribani miaka Tisa sasa umekuwa mateso kwa watumiaji.
MOFAT alipewa kuendesha mwendokasi kutoka kariakoo kwenda mbagala...
Hii kauli ya “Mimi ndiye Rais” ni Kama vile inatumika kutisha wanaohoji kuhusu haki zao
Mwaka 2015 September wakati wa kuelekea uchaguzi Kikwete aliwatisha Wananchi kwamba “Mimi ndiye Rais sitaki...
Mgombea mwenza wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Emmanuel Nchimbi amesema Wana-CCM na Wakazi wa ilala wametangaza kuwa siku ya uchaguzi Oktoba 29 ni samia Day
Nchimbi...
Polepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa,
Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo...
Katika maadhimisho ya siku ya wazee duniani yanayofanyika leo oktoba 1, 2025, baraza la Wazee Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA) kanda zote limefanya majadiliano kwa njia ya mtandao...
Mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR–Mageuzi, Dkt. Eveline Munisi, amesema kuwa endapo wananchi watamchagua mgombea urais wa chama hicho...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, akiendelea na ziara za kampeni mkoani Kilimanjaro ambapo leo Septemba 30, 2025 anafanya kampeni katika Wilaya ya Same...
Uchaguzi wa mwaka huu umeibua mambo ya kushangaza. Licha ya kutokuwepo kwa uwanja sawa wa ushindani wa kisiasa kati ya CCM na vyama vya upinzani, kumetokea hali ya baadhi ya wagombea waliopitishwa...
Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye amesema wakazi wa kanda ya Kaskazini wanataka kuwahakikishia Watanzania Wanafuta mitazamo ya baadhi ya watu kuwa kanda hiyo Kuna maeneo Chama Cha...
Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.
Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa...