PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 420
- 555
Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye amesema wakazi wa kanda ya Kaskazini wanataka kuwahakikishia Watanzania Wanafuta mitazamo ya baadhi ya watu kuwa kanda hiyo Kuna maeneo Chama Cha Mapinduzi(CCM)kimeshindwa kujipambanua
Sumaye ameyasema hayo Leo Sept 30,2025 Viwanja vya Stendi ya Mabasi Same Mkoani Kilimanjaro kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 ya Mgombea wa kiti Cha Urais kupitia CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan
Sumaye amesema kuwa wakazi hao wa Kaskazini wanataka kufuta historia hiyo Kwa kujitokeza Oktoba 29,2025 kupiga kura kukuchagua Chama Cha Mapinduzi kupata ridhaa ya kuongoza Serikali.