Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumbe kura aziibiwi? Naendelea kuaamini kuna vyama vingine ni matawi ya halali kabisa ya CCM ================== Mgombea Urais wa Tanzania kupitia United People’s Democratic Party (UPDP), Twalib...
1 Reactions
3 Replies
137 Views
Innocent Bashungwa Mgombea ubunge jimbo la Karagwe kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika...... "Rugera - Karagwe Upendo wa Wanakaragwe ni wa kipekee, kila ninapokutana na mwananchi mmoja...
0 Reactions
4 Replies
241 Views
  • Poll Poll
=== Wakati zikiwa zimesalia siku kadhaa kwa chama kikuu Cha Upinzani nchini Tanzania CHADEMA kuwapata Viongozi wake mbalimbali wa ngazi ya Taifa. Kwa mujibu wa kalenda ya Chama kabla ya Uchaguzi...
6 Reactions
91 Replies
6K Views
Hawa siyo watu. Siyo watu kabisa. TAKE CARE PLEASE
1 Reactions
9 Replies
432 Views
Shirikisho la madereva pikipiki wa mkoa wa Dar es salaam(SHIVYAMAPIDA)wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari wametambulisha kampeni yao mahsusi kuhamasisha wananchi wa mkoa wa Dar es salaam...
3 Reactions
9 Replies
348 Views
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema iwapo atachaguliwa kuingia madarakani atapiga marufuku kampuni zote zinazowaingiza wananchi kwenye mikopo ya...
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Ester Bulaya ameendelea kampeni za Mtaa kwa Mtaa akiomba kura Jimboni humo ambapo leo Mtaa wa Kiwasi Kata ya Waliku akivamia kata hiyo kwa Boda boda.
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Kabla haujasoma ninachotaka kusema, embu tuelewane kidogo. Sijawahi kuisifia wala kuitetea CCM na serikali zake. Siungi mkono vitendo vyovyote vya unyanyasaji, utekaji, mauaji na uminywaji wa haki...
12 Reactions
73 Replies
3K Views
Hakuna kiongozi wa dini,mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa bila kutaifisha mali na fedha zao walizoiba wataendelea kuwakandamiza Waafrika...
15 Reactions
82 Replies
3K Views
Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania? Simuoni!
9 Reactions
73 Replies
2K Views
Embu ona kichekesho kama hiki Padri anatoa maoni kuhusu mstaafu...gafla anapotea katika mazingira ya kutatanisha...ni mtu mzima na umri umeenda, ghafla wanampata porini vichakani, wakisema...
12 Reactions
16 Replies
1K Views
Vikao vya siri kuelekea maandamano tare 29. Nairobi anaratibu MARIA SARUNGI LEMA ataratibu CANADA US anaratibu MANGE akishirikiana na NGURUMO. Baadhi ya viongozi watashiriki kupitia mtandao...
-1 Reactions
51 Replies
2K Views
Hili swali huwa najiuliza sana ila sipati majibu nimeona nilisogeze kwenu wajuvi wa mambo kwa msaada zaidi. Kwa sasa makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche anaendelea na operesheni ya No...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Anaandika Godbless Lema kwenye mtandao wa Instagram hivi leo Mheshimiwa Rais, Maisha yangu yako katika hatari kubwa. Tafadhali, naomba kwa unyenyekevu mkubwa unisikilize. Ningependa kuishi ili...
14 Reactions
110 Replies
4K Views
Hii ni video inaonyesha watu walipewa mabango na Tshirt zenye picha ya Samia wakisifia sera za rais Samia na hii imetokea leo baada ya Diaspora kufanya maandamano ya amani yakipinga utekaji na...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Baada ya Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kutoa Taarifa kuwa Makamu Mwenyekiti wa wa chama hicho, John Wegese Heche amezuiliwa kusafiri Kwenda nchini Kenya kuhudhuria Mazishi ya Raila...
10 Reactions
43 Replies
2K Views
Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram Wako...
7 Reactions
98 Replies
2K Views
Vyombo vya Usalama mkoa wa Tabora vimemkamata na kumshikilia mwanaume mmoja kwa makosa ya kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, akidaiwa kuandika maneno yenye nia hiyo...
2 Reactions
15 Replies
764 Views
Kuna watu wana ugonjwa wa ukosefu wa ubunifu kiasi cha kugeuzwa wadudu. Watu, sorry, wadudu hawa wana silaha moja tena ya hovyo. Nayo ni kujikomba, kusifia hata ujinga, kujigongagonga, kutabiri...
2 Reactions
5 Replies
419 Views
Kama wewe ni mwana CCM na umeshindwa kupinga yanayoendelea, Chuki waliyonayo Watanzania ni kubwa sana, kuna siku wataanza kuingia ndani ya nyumba zenu
2 Reactions
2 Replies
191 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…