"Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa" Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu akiwaambia mawakili wake leo baada ya mapumziko mafupi mchana wa leo.
Aliyekuwa Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Paul Mkobe Nzagamba amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha mapinduzi CCM leo Oktoba 08,2025 katika mkutano wa kampeni za Mgombea...
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimwombea kura mgombea Ubunge wa jimbo la Kasulu mjini kupitia Chama hicho, Martina Mturano, kutoka kwa wafanyabishara wa soko kuu la mjini wa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefikishwa mahakamani katika Kesi hiyo ambayo mshtakiwa anajitetea mwenyewe, leo imekuja kwaajili ya Mawakili wa Jamhuri kumuhoji 're-examination' shahidi namba...
Kwema?
Kwanini Captain Tesha alitoka mbele ya kadamnasi na kuzungumza mambo mazito vile huku akitaja baadhi ya wanasiasa kuwa wazuiliwe kukimbia nchi?
Kwanini Captain Tesha alionya polisi...
Akiwa katika Mahojiano na The Chanzo Mjumbe wa Sekretarieti ya Ilani ya Chama cha ACT-Wazalendo Jasper Sabuni ameelezea maono yake juu ya uelekeo wa ACT- Wazalendo baada ya Uchaguzi Oktoba 29...
Mzee Masaju tangu amekuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, ameonyesha wazi apendezewi na baadhi ya mambo yanaendelea kwenye mahakama.
Amekuwa akiwapa ukweli watendaji wote wa mahakama. Safi...
Haya ndio maoni yangu juu ya faida ya kesi hii Kwa Lissu na umma kuliko angegombea urais vs Samia.
1. Imezidi kumjengea heshima na umaarufu na jamii inaendelea ku sympathize nae.
2. Amezidi...
Kuelekea kwenye Zoezi la uchaguzi Mkuu wa Tanzania Jumatano ya Oktoba 29, 2025, Viongozi wa dini, kijamii pamoja na wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameungana pamoja kuhimiza amani, wakiitaja kama...
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira, amesema wanaofanya chokochoko si wananchi wote, bali ni watu wachache wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii. Amesema Rais Samia ametekeleza...
Kumbe kwao mambo safi! Au uchawa wa kupewa 2000 wanajiona wamemaliza shida zao?
====================
Wananchi wilayani Busega wameeleza kuwa wanafahamu kazi kubwa iliyofanywa na mgombea urais wa...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Wilaya ya Bunda kutafakari kwa makini kabla ya kufanya maamuzi ya...
Mgombea Ubunge Jimbo la Mwibara kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kangi Lugola amesema kuwa wanaodhani kuwa Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan sio Nguvu ya...
Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli.
Kipindi kile nilikuwa na miaka 21
Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi...
Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu .
Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro...
Leo Mbeya imesimama tokea asubuhi Kazi hazifanyiki. Mnasimamishwa masaa manne kupisha mwenge na haupiti.
Mara upishane na Malori yanaenda kwa Samia kwenye mikutano yake. Mnasimamishwa masaa...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kwa miaka mitano iliyopita, serikali ya awamu ya sita...