PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 434
- 590
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, amesema kuwa Chama Chake Cha Zamani Kwa sasa ni kimebaki kama NGOs
Wenje ameyasema hayo Leo Oct 16,2025 katika Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mkoani Kagera kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 ya Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan
Aidha Wenje amesema kuwa hakuna Nchi nyingine ya Watanzania hivyo wawapuuze watu hao ambao wanahamasisha machafuko.