Moja ya jambo linakera ni hili kikundi Fulani kujipa mamlaka kukata mawasiliano nchi nzima wakijisikia wao.
Kwa vile nchi nchi Iko Kwa wananchi tushirikiane tuone namna ya kunyanganya hiki...
Jeshi chukueni nchi na CCM ivujwe na ijiunde upya baada ya katiba. Stadium zote zirudishwe kwa serikali kuu na Chama kiundwe upya lakini hii CCM ya sasa ambayo ndiyo imesababisha kuchomwa kwa hii...
Huyu Mama hata kama mamlaka yatamtangaza kuwa Rais hatakuwa na Amani maishani mwake,na wenda binafsi yake itabidi ajiingize kwenye maisha ya vileo ili kujipa amani ya mda fupi
Kusababisha watu...
Kufuatia sintofahamu ya kupiga mabomu na risasi kwenye mitaa na kuwatishia watu wasitembee maduka na magenge yamefungwa
Watu wanakula akiba ya chakula kilichokuwa nyumbani, kikiisha...
Kwa maoni yangu, wafuatao ndio wasaliti wakuu waliolitumbukiza taifa letu kwenye machafuko lililomo hivi sasa. Wapo wengi, lakini mchango wa hawa ndio mkubwa zaidi.
1. Jakaya Mrisho Kikwete
2...
Tanzania imekuwa mstari wa mbele kusuruhisha migogoro mingi Afrika. Hasa ya Majirani zetu. Rais Mkapa, Kikwete na Samia wamesaidia kutuliza hali ya hewa kwa Majirani zetu hasa Kenya. Mboan sasa...
Namnukuu "Hakuna kabisa msamaha au sababu zinazoweza kuhalalisha kile kinachotokea Tanzania sasa hivi — uuaji wa watu wetu; kabisa hakuna! Acha wazimu huu wa kudhani kwamba watu wetu ni watumwa...
Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania.
Tanzania na Kenya wamekuwa...
Ukiwa kiongozi wa Nchi kosa kubwa zaidi unaloweza kulifanya ni kuingiza askari wa kigeni kuua raia wako.
Kosa alilolifanya samia kuchukua askari wa Uganda kuua watanzania ili abaki madarakani ni...
Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na...
Nauatilia kuna independent streams, youtubers kama 6 kila baada ya nusu saa wanapost mambo ya protest mambo mabaya tu ya Tanzania na kuna mama mmoja mzungu katikakati kwenye press za wanaharakati...
Kuwaachia wawe huru ni vigumu sana maana wanaogopa watawataja. Na mtu kama Polepole hawezi kaa kimya. So, option inayobaki kwa hawa madhulmati ni kuwamaliza watu wetu na kuwaficha kabisa wapotee...
Inaelezwa kuamkia jana Samia alikimbilia Uganda na kuhifadhiwa kwa Museveni.
Chanzo kutoka UN kimedai amehifadhiwa mpakani mwa Uganda na Tanzania.
Wazalendo wetu mliotukuka JWTZ tunaomba...
Nyie mnaotiki Mmeona Magari ya Polisi leo? Yatakuja kutawanya watu vituoni, kwa kuwa Tunaondamana na nyie mnaopiga kura hatuna alama usoni wote tutapigwa tutaumia, tutapigana wenyewe kwa wenyewe...
..hivi ni kwamba hana uwezo?
..au hajali haya yanayoendelea?
..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi?
NB:
..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis...
Ikumbukwe, MADAI YA WAANDAMANAJI ni:
1. Uchaguzi 2025 ufutwe
2. Katiba Mpya
3. Tume Huru ya Uchaguzi
4. Waliotekwa waachiliwe huru
4. Kesi za kubambikia watu zifutwe