Alichokisema Capt. Tesha

Alichokisema Capt. Tesha

Huyu sasa ni kiongozi! kaweka maisha yake kwenye maslahi mapana ya nchi
 
“Ninaiona hatari kubwa sana mbele yetu”-Capt. Tesha

Watu walimbeza na kumtukana, haijazidi mwezi hatari hii hapa.

View attachment 3496299
Tesha, Humphrey Polepole, Gwajima na Agustino Polepole. watu walikuwa wapo kila uzi na wanafungua nyuzi za kumtukana, kumkejeli, kumbeza, kuwabeza Watanzania wote waliowaunga mkono pamoja.

Tanzania nyumbu na wasaliti ni wengi sana.
 
Back
Top Bottom