Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inawezekana Kuna mambo hatuyajui kijeshi yamewakwamisha wachafuzi pale Dodoma.
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Wale wenye dini zenu mtaashuhudia viongozi wenu wa dini au wengine mnawaita wa kiroho watakavyojazana kwenye uapisho wake kumuombea na kuwaaminisha kwamba yeye ni chaguo au mpango wa mango pamoja...
2 Reactions
26 Replies
817 Views
You can’t lead a nation by the power of security agents — true leadership comes from winning hearts, not instilling fear. Silent voices are powerful tools! Wounds speak louder than words!
1 Reactions
4 Replies
285 Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Wako wapi magabacholi mbona hatuwaoni mitaani nao wakiandamana au weshafanya yao kama kawaida yao. Nao, tukimalizana na wanasiasa, tuwatembelee wajue hawajui na warudi...
0 Reactions
9 Replies
486 Views
Mwenyekiti wa sasa ni João Manuel Gonçalves Lourenço, wa Angola
0 Reactions
8 Replies
405 Views
Sina la kusema! Naamini kazi itaendelea hadi kieleweke. Kwa ujuha na uzwazwa huu, sina wasiwasi.Damu iliyomwagika itarudi na kulipiza kisasi.
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Kwa miaka mingi Mungu amekua akiitumia Taifa langu Tanganyika kama mapumziko na tumaini la wanadamu kutoka mataifa kadha wa kadha mbao tamaa na ukatili wa binadamu wenzao ziliwafanya wakakimbia...
4 Reactions
9 Replies
348 Views
  • Featured
30 October 2025 | Unguja, Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi azoa kura 448,892 uchaguzi wa 2025 Huku mpinzani wake mkuu Othman Masoud Othman almaarufu OMO wa ACT Wazalendo akipata kura 139,399...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna taarifa kuwa Star Link wametoa free internet kwa Tanzania ili kuwezesha mawasiliano na uhuru wa maoni. Naomba Maxence Melo confirm hili na tuwataarifu Watanzania wote muda huu
2 Reactions
16 Replies
842 Views
Watanzania wote tunajua hakuna hata Watanzania milioni 15 walioenda kupiga kura! Leo hii tunaambiwa eti wapiga kura ni milioni 32 sasa hawa vijana wakichoma nyumba zetu tunawalaumu wakati pesa za...
6 Reactions
21 Replies
762 Views
Hii ni jioni ya leo, Novemba 01, 2025. Pamoja na matokeo kutangazwa, wananchi hawaonekani kuridhika
1 Reactions
8 Replies
519 Views
Siombi msamaha. Urais wa Samia, chama chake na nchi vimejaa damu. Ni ubatili. Ni ukatili, Ni unyama, Ni ujambazi. Ni udikteta. Ni dhuluma Ni mauajai, Ni unyang'anyi. Je, Samuya atatawalal damu...
2 Reactions
0 Replies
178 Views
Tafakari haya: 1. Watanzania walio wengi hawakupiga kura 2. Wachache waliojitokeza walifurumshwa na Gen Z. 3. Mawakala hawakuwepo tena. 4. Waliojiandikisha ni 37M na CCM wenyewe hawana...
10 Reactions
21 Replies
729 Views
Mh kikwete tunajua tunajua kitabu utakachoandika kitakuwa kwa lugha ya kingereza kwasababu wewe na mkapa mlikuwa watu wa kimataifa hatutegemei kwa miaka mingi ijayo kiongozi wetu kuandika kitabu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu wote wenye nia njema na Taifa hili,naona kuna JUHUDI za makusudi kuonyesha hii hali tuliyomo sasa imesababishwa na mgogoro baina ya lissu na Samia au CCM na CHADEMA Wanataka...
9 Reactions
13 Replies
551 Views
General Muhozi (yule mtoto wa Rais Museven ) anamwambia Rais Samia Suluhu Hassani kwamba kama atakuwa anahitaji msaada wowote kutoka kwake kutokana na hii hali unayoipitia kwenye Taifa lake ...
1 Reactions
13 Replies
795 Views
Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana
0 Reactions
8 Replies
478 Views
nimesoma sasa hivi kwenye foreign media kwamba watu 700 wameuliwa so far, inawezekana kuwa kweli? this is crazy, hii haijawahi kutokea, kwa nini lakini? nani yuko responsible? kwa nini hakuna...
4 Reactions
22 Replies
907 Views
This is some joke business. Eti kashinda kwa asilimia 97! Wameamua kuzitusi waziwazi kabisa akili za Watanzania. Wanatuambia kwamba sisi ni mazuzu na hatuna akili na kwamba wanaweza kufanya...
8 Reactions
25 Replies
973 Views
Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa. Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya...
3 Reactions
8 Replies
366 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…