Mh Jakaya kikwete tunasubiri kwa hamu kitabu chako baba

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,908
Mh kikwete tunajua tunajua kitabu utakachoandika kitakuwa kwa lugha ya kingereza kwasababu wewe na mkapa mlikuwa watu wa kimataifa hatutegemei kwa miaka mingi ijayo kiongozi wetu kuandika kitabu chake kwa lugha hiyo.
 
mmhh,,,hapa kuna jiwe limetupwa gizani,,,!
 
Mh kikwete tunajua tunajua kitabu utakachoandika kitakuwa kwa lugha ya kingereza kwasababu wewe na mkapa mlikuwa watu wa kimataifa hatutegemei kwa miaka mingi ijayo kiongozi wetu kuandika kitabu chake kwa lugha hiyo.

Asisahau kuwafunga uwamsho na kupora uchaguzi halali wa Zanzibar Oct 2015 , na kuvuruga upatikanaji wa katiba mpya
 
Akiandika kwa kingereza itamletea picha mbaya sana kama raisi wa awamu ya nne
 
Mh kikwete tunajua tunajua kitabu utakachoandika kitakuwa kwa lugha ya kingereza kwasababu wewe na mkapa mlikuwa watu wa kimataifa hatutegemei kwa miaka mingi ijayo kiongozi wetu kuandika kitabu chake kwa lugha hiyo.
Akikutajia nchi alizotembelea utazimia
 
Kuna jitu likiandika ukweli kitabu chake kitajaa Damu tupu na historia ya mauaji.
 
Yule jamaa akija kuandika kitabu asisahau kuelezea kuhusu Bensaa8!
 
Natumaini Mh. Rais Kikwete kitabu chake kitakuwa cha Kiswahili ili vilaza wengi wa ccm waweze kukisoma.

Mkapa kaandika chake kwa lugha ya malkia matokeo yake wanakisoma watu wa CHADEMA na ACT Wazalendo tu
 
Back
Top Bottom