Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo kwa humu jf, nimeweka hoja na swali "Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Kwa Aliyoyafanya, Anastahili Pongezi na Shukrani...
12 Reactions
138 Replies
4K Views
Samia itakuwa aibu kwetu na kwako, kama wananchi au askari wako wakikutoa kama mwizi. Kwa heshima, watu wako watakufikishia hizi karibuni kutakuwa na majibizano ya Risasi kama CCM itaacha...
20 Reactions
48 Replies
2K Views
Rais Hakainde Hichilema wa Zambia Baada ya shughuli ya kumuapisha rais mteule Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mgeni kutoka taifa la Zambia mheshimiwa Rais...
3 Reactions
19 Replies
715 Views
Mambo ya aibu we are being portrayed. Uchaguzi wote uko kwetu. Just tune in! https://m.youtube.com/watch? v=NSG0IRfLsHk https://m.youtube.com/watch?v=2XATW3VLL2E
5 Reactions
99 Replies
3K Views
Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na...
6 Reactions
7 Replies
416 Views
Kutoka BBC | Novemba 2, 2025 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapishwa rasmi Jumatatu Novemba 3 Jijini Dodoma. Kulingana na taarifa ya serikali iliyotangazwa kupitia runinga...
2 Reactions
55 Replies
2K Views
RC Chalamila leo alipata nafasi ya kupokea simu za wananchi huku akiwapoza kuwa haki ya usalama wa jiji ni shwari. Aidha, amesema Polisi na Vyombo vya Usalama hawajaua mtu katika maandamano...
3 Reactions
19 Replies
817 Views
Haya ndo yanayozungumzwa na Propaganda machinery yao Kigogo. Hawa watu hawawazi Watanganyika waliowaua, hawawqzi uchumi wao waliousimamisha. Wanachowaza ni kugawana vyeo na Madaraka ili waendelee...
3 Reactions
8 Replies
472 Views
Naamini kuna haja ya kuwa na kumbukumbu sahihi za raia wenzetu ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu 29 October 2025. Hivyo, ninapendekeza familia za wahanga ziwasilishe kwa TLS...
1 Reactions
1 Replies
231 Views
Kwa huu uhuni wa uchaguzi, raisi Samia na genge lake walivyoupora kwa madaraka yake ya kikatiba. Unajiuliza were the killings necessary. Kwa mara ya kwanza turnout ya wapiga kura ni ndogo kwa...
3 Reactions
8 Replies
552 Views
..Kichwa cha habari chahusika. ..Raisi alipuuza ushauri wa Tundu Lissu na Chadema katika kila hatua. ..Na kibaya zaidi akamtengenezea fitina, na hila, za kumtesa. ..kosa la Tundu Lissu ni nini...
9 Reactions
21 Replies
723 Views
Haikuwa kazi ndogo.. Waliokufa kwenye maandamano, majina yaa yaandikwe kwa Wino wa dhahabu. CCM wametepeta. Viongozi wametepeta. Mafisadi wanatetemeke. Sasa Tanzania ni iyenaiyena... 🎉🎉🎉
13 Reactions
20 Replies
867 Views
Nazani kama kichwa cha habari kinavyoonyesha inasikitisha sana kwa yanayoendelea Tanzania,sikuwa kuamini kama Viongozi wa inchi pamoja na jeshi la polisi wanaweza kusimamia mauaji dhidi ya raia...
3 Reactions
16 Replies
689 Views
Ndugu Raia wa Afrika Mashariki, Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote. Tunaendelea...
1 Reactions
4 Replies
737 Views
Wameenda kwenye majeshi, idara za usalama kwa uzalendo lakini sasa wakubwa wao wamekuwa mafisadi wakubwa na kuunga mkono unyanyasaji! Sasa kuna tatizo jipya kubwa Tanzania la wanajeshi kuamini...
9 Reactions
16 Replies
872 Views
Unajua bana, kwenye zama hizi mtu huwezi ukafanya mambo hadharani halafu yaendelee kuwa siri au sijui ujifanye huajayaona. Picha za Watanzania walioumizwa, waliojeruhiwa, na waliouliwa na mamluki...
20 Reactions
51 Replies
3K Views
Kuna taarifa kuwa ccm wanapanga kuanza kutangaza matokeo ya uchafuzi walioufanya jana na ukafeli ili kuleta panic na kujionesha kuwa wana li control Taifa. Tunawaomba askari wetu wapendwa JWTZ...
6 Reactions
11 Replies
657 Views
TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani...
3 Reactions
3 Replies
560 Views
Mungu ana mbinu ambazo mwanadamu hawezi kuzielewa. Sasa hawawezi kusingizia kuchomwa kwa nchi viongozi wa Chadema. Lakini hawawezi kusingizia chama ambacho kimefungiwa wakati wa uchaguzi na...
10 Reactions
6 Replies
485 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…