Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Gabriel Makalla amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Arusha, wageni na Watalii wanaofika Mkoani Arusha kuwa hali ya ulinzi na usalama Mkoani Arusha ni shwari na...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Mkuu wa Idara ya Tathmini na Ufuatiliaji wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation ya Francis Forodhan wakiwa ni waangalizi wa ndani wa uchaguzi ameeleza namna Mchakato na uendeshwaji wa...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Tarehe 03 Novemba, 2025 – Uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino, Dodoma 1. Utangulizi wa Tukio Tarehe 3 Novemba 2025 imebaki kuwa siku ya kihistoria katika safu ya uongozi wa Taifa la Tanzania. Siku...
2 Reactions
3 Replies
462 Views
Hizi sheria mbaya ni wewe ndiye utapata shida. Mikopo mibaya ndiyo wewe utalipa! Mikataba mibaya yote ni wewe ndiye utaongezewa kodi ya maji, umeme . Haitakuwa ndugu wa Mwinyi, kikwete wala...
3 Reactions
9 Replies
291 Views
Yani ukitazama watanzania waliuwawa inatia huzuni mzito sana na majozi yasiyoelezeka kwa ndugu na hata Taifa Huyu jamaa kwenye picha Alikuwa anaishi Kimara Korogwe , Askari alimfuata na kumpiga...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Wasanii wa Bongo Flavour wameanza kutoa pole kwa familia na watu wote waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki. Hata hivyo, ninaona ingekuwa vyema kama wasanii hawa wangetumia sauti zao...
1 Reactions
5 Replies
325 Views
Kama unaelekea Kigamboni au Posta Mkoani Dar es Salaam, Polisi waliovaa Kiraia na wengine Sare wanadai Vitambulisho. Wannapick rondomly. Wanasema kuna watu kutoka Nchi jirani wenye nia ovu kwamba...
1 Reactions
1 Replies
245 Views
And a bloody headscarf too!! The Standard newspaper (Kenya) wametutumikia Watanzania kwa moyo wa uaminifu sana. Pasipo gazeti hili, dunia isingefahamu uchafu wa Hassani. Ni jambo la heri pia...
8 Reactions
4 Replies
339 Views
Wakuu, Kinachoendelea sasa hivi ni kwamba polisi wameanza kuzidiwa, sasa wanachofanya kudhibiti raia na kuzuia maandamano ni kuwa wanavua gwanda za upolisi na kuingia mtaani kiraia na kuanza...
10 Reactions
20 Replies
1K Views
Mbari ya Gen Z iliuawa na mbari ya watawala. Mbari ya wasio chawa iliuawa na machawa Mbari ya wasio CCM imeuawa na CCM. Kuna mauaji ya kimbari Tanzania. ICC inaweza kuanza kuchunguza.
4 Reactions
2 Replies
238 Views
Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma. Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa...
4 Reactions
16 Replies
681 Views
Nchi yetu imefika hapa kwa sababu ya uongozi mbovu,ufisadi,rushwa,utekaji,uchaguzi wa kishetani,maisha mabovu...
2 Reactions
3 Replies
175 Views
Tumefika mwisho wa uchaguzi, baadhi ya ndugu zetu hatupo nao tena, kwa sababu adrenaline iliwaendesha na wao kutaka kuonekana walihusika kufanya fujo CCM kwa muda mrefu imejulikana kutoa...
3 Reactions
29 Replies
967 Views
Kumekuwa na taarifa mbalimbali juu ya chanzo cha maandamano na vurugu zilizotokea. Wengine walio serikalini wakiwashutumu wahuni na watu wa nje kuwa ndio chanzo. Na wale walioandamana wanaona...
3 Reactions
2 Replies
240 Views
Habari? Nianze kwa kusema sisi Watanzania ni wepesi sana wa kusahau mabaya pale tunapo tendewa mema. Ni majonzi na maskitiko makubwa kuona vijana wadogo wasiyo na hatia kuawa kikatili na kinyama...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu Taifa limetoboka, tuambiane tu ukweli watanzania wanalia tena kilioo cha kwikwi. Mahospitalini kumejaa maiti kitaa kumejaa maiti Ndani ya nyumba za watu kumejaa vilema waliyokosa...
5 Reactions
4 Replies
285 Views
Mbunge Mteule wa jimbo la Tabora mjini kupitia CCM Hawa Subira Mwaifunga amewashukuru wakazi wa Tabora mjini kwa imani yao na mapenzi makubwa waliyoyaonyesha kwake baada ya kushinda na kutangazwa...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Huyu anaitwa Kelvin Lameck alikuwa mwandishi wa radio inaitwa Baraka FM. Ameuawa akiwa kazini kufuatilia maandamano wakati wa Uchaguzi. Kifo chake kimeacha simanzi kubwa miongoni mwa familia...
11 Reactions
18 Replies
1K Views
Tusiomboleze wenzetu kwa maneno, tufanye vitendo Wamekufa kwa sababu yetu, walitaka sisi wote tuishi kwenye nchi nzuri yenye uchaguzi huru na wa haki, uhuru wa vyombo vya habari, utawala wa sheria...
1 Reactions
1 Replies
156 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…