Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,172
Wakuu Taifa limetoboka, tuambiane tu ukweli watanzania wanalia tena kilioo cha kwikwi.
Mahospitalini kumejaa maiti
kitaa kumejaa maiti
Ndani ya nyumba za watu kumejaa vilema waliyokosa matibabu ,wanaogopa kwenda hata mahospitali kwa kuogopa kumaliziwa .
Wengine wanaogopa kujitokeza kwakuogopa watapewa kesi za mada .
majeruhi wengine wameona nibora waseme walijeruhiwa na waandamanaji ili kujinusuru na mkono wa dola .
Miji iko tupu ,binaadamu wengi wanatajwa kupotea na hawajulikani walipo.
Taarifa za mrumdikano wa maiti hospitali zinafanya kila jamii ikae kama ndege waliyonyeshewa maji .
Hadi sasa bado hakuna kauli yafaraja yakuliunganisha Taifa.
Waliyokinyume na kilichofanywa na serikali hadi sasa hakuna anaejiona yupo salama maana serikali hadi sasa haijioni inakosa huku jamii ikitegemea kulisikia neno la faraja.
Niwasisi hasa wale wanaounga mkono chama dola ,wapunguze majivuno kwa kuunga mkono kilichofanywa na dola ,watu mioyo imepasuka, vidonda bado vibichi wanaweza kuliingiza Taifa kwenye matatizo mazito ya mapigamo ya wenyewe kwa wenyewe .
Mijadala ya mshindi ni nani kwa wakati huu nipilipili au chumvi kwenye kidonda,hasa kwa ndugu na wanafamily zilizokutwa na majanga.
Sijui nani asimame ili atoe neno litakaloliponya Taifa .
Mungu simama na Taifa letu .