Zingatia hizo sera za Mgombea Ubunge kutoka Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kisha zingatia Mavazi aliyovaa ni ya Makamanda wa CHADEMA
Jamaa kahama chama lakini bado itakadi za CHADEMA...
Jambo moja ama mawili:
1. Hamza Johari ni Mzanzibari, na amefundisha Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na baadaye akawa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).
2. Hayo...
Rais Samia apuuza Vifo vya Maandamano ya Uchaguzi 2025, asema waliokamatwa wametoka Nchi za Jirani
Katika hotuba iliyojali Kejeli, hakugusia wala kutoa heshima ya waliotangulia mbele za haki...
Tukio: Marufuku ya kutotoka nje kitaifa bado ipo kati ya saa 12 jioni hadi saa 12 asubuhi. Katika maeneo fulani ya Dar es Salaam, vyombo vya ulinzi na usalama vinaripotiwa kuimarisha udhibiti wa...
Sio kitu cha kuumiza kichwa...
Yatakuja maandamano makubwa zaidi na umwagaji mkubwa zaidi LAKINI WENYE USHINDI.
Lini? Muda utaongea
Kwanini? Shida ni mwalimu mzuri sana.
Shida itatokana na...
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?
Pia soma:
~...
Kuongoza taifa siyo sawa na kupika au kufua nepi. Kunataka jabali tena mwenye elimu, busara, na akili timamu.
Tanzania, tumejaliwa kila kitu ila huyo hapo juu. Uongo umegeuzwa uongozi. Upigaji...
Watumishi wa umma hasa walimu wamekuwa na hali ngumu, wananchi walijiapiza kuwa ikiwa Samia atashinda uchaguzi huku wanajua kura hazijapigwa basi watadili na hawa watumishi wa umma walioshiriki...
HII NIMEONA KWENYE MOJA YA COMMENT KWENYE FACEBOOK
Wakati mnawashawishi vijana wafanye fujo mliwaita jina la GENZ. Haya vijana wakavimba vichwa wakaiga ukichaa wawakenya bila kujua kwamba wanacho...
Kesi ya Tundu Lissu ya uhaini imesikilizwa leo Mahakamani Kuu, lakini hakuna uamuzi wa mwisho uliotangazwa hadi sasa. Upande wa mashtaka bado una shida ya kuleta mashahidi, hivyo kesi inaendelea...
Wakuu,
Mwanzo kabisa napenda ku-declear interest kwamba mimi natamani nchi yangu Tanzania ipate katiba mpya.
Mjadala wa katiba mpya ni mjadala mrefu sana unaohitaji umakini, utashi na ujuzi juu...
Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea?
========================================
Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a...
Ni vigumu kusema kwamba watu wa kawaida wangeweza kutabiri yaliyojitokeza October 29 na takribani siku nne zilizofuatia mbeleni lakini kuelekea siku hiyo tulitegemea wale wanaosifiwa sana na...
Katika historia ya chaguzi za Tanzania (zikiwemo chaguzi ambazo zilifanyika bila tension yoyote), hakuna uchaguzi ambao umewahi kuwa na voter turnout ya 87%.
Ilikuwaje huu uchaguzi, ambao...
Ni dhahili bila shaka, wale wote wanaompongeza rais Samia, au wanaofurahia ushindi wa Samia, Wasiacha kutembea na picha hizi vifuani mwao.
Furaha ipo wapi?
Je, Mtahudhuria mazishi au mtaacha...
Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.
Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na...
Hii inashangaza!
Kuna wapuuzi huko mtandaoni wameanza kazi ya kusambaza ujumbe, kwa Kiswahili na Kingereza (ili kuvvutia mataifa ya nje ambayo mpaka sasa wana picha kamili ya yote yaliyofanyika...
Tuseme ukweli maandamano ya chaguzi ni vijana wetu na wala siyo wakutoka nje ya nchi. Hatuwezi kuishi maisha au kubadilika kama tunaficha ukweli ambao upo wazi. Ukificha moto moshi utakuumbua...
Naomba qualification/CV zao.
Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO.
Sifa zingine:
Baba LEVO ni CHAWA
ZITTO ni mnafiki na opportunist.