Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) laeleza masikitiko yake juu ya vifo vya Wanahabari na raia wakati wa vurugu za Uchaguzi Mkuu Novemba 6, Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza masikitiko...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Historia ina tabia ya kujirudia Huyu ni Sadam Hussein mwaka 2006 baada ya mahakama maalum ya Iraq kumtia hatiani kwa kosa la mauaji ya raia 148 wa kijiji cha Dujail mnamo mwaka 1982. Saddam...
0 Reactions
7 Replies
578 Views
Wakuu, Ni mimi tu nimeona au na nyie pia mmegundua kuna baadhi ya media zinachukua wananchi then wanaanza kuongelea hasara zilizoletwa na maandamano? Wengine wanasema sijui biashara zao...
2 Reactions
14 Replies
486 Views
Tuweni makini ndugu zangu hawa wahuni wanaweza kugeuza kibao kwetu tukaonekana sisi ndo wenye makosa alafu wao wana haki Wameanza harakati za kueneza propaganda kuwa waandamanaji walikuwa raia...
2 Reactions
14 Replies
692 Views
Useless! Mnaenda kulinda raia wa nchi zingine ila mnaacha raia wenu wakiwindwa hadi majumbani na kuuliwa kama digidigi. Shame on you!
6 Reactions
10 Replies
431 Views
Katika kipindi ambacho hawa "wanaojiita" watumishi wa Mungu wamejizolea umaarufu basi ni kipindi hiki. Wamesema mengi, wametabiri mengi na wameshauri mengi ambayo kwa asilimia kubwa yametokea na...
1 Reactions
4 Replies
292 Views
Niliwahi kuleta uzi kuelezea mambo kadhaa yaliyofuatana kabla tu ya Mapinduzi (kama unaweza kuyaita hivyo) yaliyomtoa Robert Mugabe madarakani. Nia ni kuonyesha kwamba kulikuwa na "clues" kama...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa...
2 Reactions
95 Replies
3K Views
Mwisho wa utawala wa Samia unakaribia Tanzania inaenda kushuhudia mabadiliko makubwa ya kisiasa soon Pole yake Samia na genge lake watavuna walichokipanda Kunazidi kukucha na ukombozi...
44 Reactions
121 Replies
7K Views
Hangaya anapenda sana kujizunguka na watu wenye elimu za kuunga unga kama yeye. Ukiangalia walioko karibu naye, utajua tu kwamba nchi hii haipo serious hata kidogo. Mwanasheria Mkuu Hamza Johari...
5 Reactions
6 Replies
250 Views
Kwanini Baraza la Mapinduzi la Zanzibar limekuwa baraza la kudumu muda wote kwa miaka 60 baada ya mapinduzi kumalizika Zanzibar mwaka 1964?
1 Reactions
10 Replies
314 Views
“Vituo vingi vya Mwendokasi vimeharibiwa na kwa mantiki hiyo tunaendelea kuusitisha usafiri huu kwa njia ya morogoro road na tunaendelea kuusitisha usafiri huu kwa njia ya Mbagala yaani BRT 2...
2 Reactions
64 Replies
1K Views
Joshua Loitu Mollel (Picha Kwa Hisani ya Maktaba) Mabaki yaliyorejeshwa kutoka Gaza hadi Israel usiku kucha yalitambuliwa kuwa ya raia wa Tanzania Joshua Loitu Mollel, mamlaka ya Israel ilisema...
0 Reactions
6 Replies
441 Views
Kwa ufupi nitajaribu kuelezea kwa nini nasema CCM imekufa na kwa nini kuna ambao hawalioni hilo au hawataki kukubali. Na mwisho nitaeleza kwa nini ni muhimu kwa usalama wa taifa, vyombo husika...
47 Reactions
66 Replies
7K Views
Ule ukatili uliyofanywa na police hadharani tena mchana wa jua kali umenipa tafakuri nzito sana. Ule ukatili wao umesababisha hadi niwaze utimamu wa afya za akili za wahusika. Ule ukatili wao...
10 Reactions
30 Replies
880 Views
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema waliohamasisha maandamano hawakuwepo barabarani — lakini video zipo, sauti zipo, nyuso zipo. Kama si wao, ni nani aliyerekodi...
1 Reactions
15 Replies
519 Views
Wana CCM wengi wanajua kupitia box la kura CCM haiwezekani kutoka madarakani hata tugeweza kuleta Rerfoms bado tugeweza kuacha gepu na mwanya wa kuendelea kuwepo madarakani sema uoga...
1 Reactions
1 Replies
180 Views
Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), sifa za mtu anayestahili kuteuliwa kuwa Attorney General (Mwanasheria Mkuu wa Serikali) zimeelezwa...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi, Simba Mwinyi, amesema amani ni kipaumbele cha kwanza kwa Serikali yoyote duniani, akisisitiza kuwa maendeleo hayawezi kupatikana ikiwa amani haitadumishwa...
0 Reactions
4 Replies
167 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…