Kwa sababu limepatikana baada ya mapinduzi kufanyika. Ni kama jamhuri tu ilivyopatikana baada ya makaratasi flani kupigwa Muhuri na NyerereKwanini Baraza la Mapinduzi la Zanzibar limekuwa baraza la kudumu muda wote kwa miaka 60 baada ya mapinduzi kumalizika Zanzibar mwaka 1964?
Unatuchanganya mkuu, mbona zimbabwe ya sasa Rais kapatikana baada ya mapinduzi ya Mugabe ila hakuna baraza la mapinduzi?Kwa sababu limepatikana baada ya mapinduzi kufanyika. Ni kama jamhuri tu ilivyopatikana baada ya makaratasi flani kupigwa Muhuri na Nyerere
Ujinga kivipi mkuu wakati wanaenzi "honouring" the history of what they areBaraza la Mapinduzi kiuhalisia halipo tena, kilichobaki ni jina tu, Baraza la mawaziri ndio wanaita baraza la mapinduzi na upatikanaji wake upo kwa kupitia wawakilishi.
Matumizi ya hilo jino la baraza la mapinduzi pamoja na serikali ya mapinduzi ni moja ya vitu vinayoendelea kuthibitisha ujinga wa CCM. wenyewe huona kama wanatisha wapinzani.
Ujinga kivipi mkuu wakati wanaenzi "honouring" the history of what they are
Kikishika dola chama cha upinzani kitabadilisha.Serikali ya mapinduzi ilishia ukomo wake 1992 baada ya kuanzishwa vyama vingi. mapinduzi yalifanywa na ASP/CCM ya sasa, sasa kwanini serikali ya nchi iendelee na utambulisho wao wakati nchi imeshabadilika na kuwa na multi parties system?
Kwan serkali ya mapiduzi imelimit chama? Mapinduz si ya wanachi wote mkuu hata kama yalifanywa na chama?Serikali ya mapinduzi ilishia ukomo wake 1992 baada ya kuanzishwa vyama vingi. mapinduzi yalifanywa na ASP/CCM ya sasa, sasa kwanini serikali ya nchi iendelee na utambulisho wao wakati nchi imeshabadilika na kuwa na multi parties system?
Kwanini CCM bado inajiita chama cha mapinduzi mpaka leo?Kwanini Baraza la Mapinduzi la Zanzibar limekuwa baraza la kudumu muda wote kwa miaka 60 baada ya mapinduzi kumalizika Zanzibar mwaka 1964?
Kwan serkali ya mapiduzi imelimit chama? Mapinduz si ya wanachi wote mkuu hata kama yalifanywa na chama?