Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro. Tukio hilo limeibua maswali kuhusu...
1 Reactions
7 Replies
193 Views
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Faustine Mafwele, ametoa taarifa leo katika ukumbi wa Central Police akieleza kuwa hali ya usalama jijini ni shwari kabisa na kila...
4 Reactions
44 Replies
683 Views
Ndugu zangu Watanzania, Tunaposema CCM itaendelea kuongoza Taifa letu hadi Mwisho wa Dunia tunakuwa tunamaanisha na wala hatutanii wala kukufuru . Hii ni kutokana na kuwa na Rasilimali watu wa...
2 Reactions
40 Replies
614 Views
Bila shaka kila mpenda haki anajua kuwa tarehe 29/10/2026 itakuwa ni siku ya kuwakumbuka mashujaa wetu waliopambana kwa ajili ya ukombozi wa Tanganyika lakini bahati mbaya wakauwawa na hii...
2 Reactions
24 Replies
208 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja wake katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani waliositishiwa huduma za maji kutokana na madeni, kuwa katika...
0 Reactions
1 Replies
59 Views
Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla. Hali haitii moyo kabisa. Viongozi wa sasa ni maslahi...
26 Reactions
63 Replies
1K Views
Unadhani wametathimini, wamegundua na wameshtuka au kuona kitu gani hapo mbeleni, hata kusitisha mambo hayo ambayo ndio yalikua yakifanya chadema kua hai, japo haina sifa za kisheria kushiriki...
2 Reactions
23 Replies
216 Views
Tunamshukuru Mbunge Msukuma hakumung'unya maneno kwa kuelezea jinsi fedha ya Road Fund inavyochezewa, kinyume na sheria ya Bunge. Kuna Mkandarasi mzawa ninaye mfahamu alipata kazi nzuri tu...
20 Reactions
141 Replies
3K Views
KAFULILA-UJANJA WA CHINA UMETOKA MAREKANI Akihutubia katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Chuo Kikuu cha SUA, Bwana David Kafulila, Mkurugenzi Mkuu wa PPPC Tanzania, alisema kuwa historia...
6 Reactions
45 Replies
841 Views
Mwekezaji mkubwa barani Dr Wicknell Chivayo hatunae tena ila legacy yake bado ipo na inaishi. Katika kuenzi mema yote aliyofanya Tanzania basi Chuo cha IFM kibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL...
10 Reactions
67 Replies
1K Views
Hapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili 1. Za mwizi ni 40..❗ Hii ni taarifa❗ 2.Zako zinahesabika..❗ Hii ni tahadhari❗ Haya mawili.. Taarifa na tahadhari havinaga mwisho mwema❗...
44 Reactions
291 Replies
6K Views
Maneno ya Askofu "Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki." "Taifa limetenda...
21 Reactions
71 Replies
1K Views
Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia. Hiki...
5 Reactions
69 Replies
1K Views
Askari wote, pamoja na Polisi, wamefundishwa kutii amri halali, siyo kila amri. Amri isiyo halali, askari hatakiwi kuitii. Akiitii amri isiyo halali, mtoa amri, hata kama ni Amiri Jeshi Mkuu au...
6 Reactions
11 Replies
136 Views
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika hatua ya ziada ya kuboresha ufanisi wa huduma na kupanua miundombinu ya bandari zake, huku ikilenga kukabiliana na ongezeko kubwa la...
2 Reactions
73 Replies
507 Views
Rais Samia Suluhu, anadaiwa kufika nchini Zimbabwe pamoja na msafara wake nyumbani kwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho (kuhani msiba)/ Kwa mujibu wa mwandishi...
20 Reactions
334 Replies
8K Views
Mheshimiwa Waziri wa Madini, Kuna maswali mazito yanayohitaji majibu kuhusu uendeshaji na uhalali wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA). Inadaiwa...
0 Reactions
0 Replies
43 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…