DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,152 Jul 21, 2025 #1 Hali ilivyo muda huu ndani ya Chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Hali ilivyo muda huu ndani ya Chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,763 Reaction score 284,778 Jul 21, 2025 #2 😆😆😆😆 Hiyo Taarifa mbona haina QR CODE?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 54,375 Reaction score 101,534 Jul 21, 2025 #3 Mnatakiwa mtuambie mmeuana wangapi?Bila hivyo ni maigizo tu.
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,688 Reaction score 11,205 Jul 21, 2025 #4 Hao sio ssm mnawasingizia bwanaa😂😂😂
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,341 Reaction score 83,267 Jul 21, 2025 #5 😁😁😁😁
Bobwe2 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 2,708 Reaction score 2,885 Jul 21, 2025 #6 Huu ni uvunjifu wa amani,wako wapi polis?
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,214 Reaction score 80,142 Jul 21, 2025 #7 😹😹😹 Huyo mwenye mwiko anayepopolewa humo ndani ndo mjumbe mwenye maamuzi ya mwisho ??
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,042 Jul 21, 2025 #8 Huu uchaguzi watapasuana
M mkulimamiwa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2025 Posts 2,522 Reaction score 5,064 Jul 21, 2025 #9 Acha wauwane tu Wamekaza kuishi na laana?? Yule mkubwa wao yeye anasemaje
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 20,768 Reaction score 14,991 Jul 21, 2025 #10 DuaZaMama said: Hali ilivyo muda huu ndani ya Chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 View attachment 3413310 Click to expand... Sie kwetu tupo mtaani tunakunywa Konyagi. Hali muswano kabisa!
DuaZaMama said: Hali ilivyo muda huu ndani ya Chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 View attachment 3413310 Click to expand... Sie kwetu tupo mtaani tunakunywa Konyagi. Hali muswano kabisa!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,376 Reaction score 194,321 Nov 13, 2025 #11 Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw