Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama “Baba Levo,” akila kiapo cha uaminifu Bungeni, amejikuta akirudia kiapo hicho baada ya Spika wa Bunge, Mhe...
2 Reactions
18 Replies
869 Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Denmark, Lars Løkke Rasmussen, ameunga mkono wito wa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, wa kufanyika kwa uchunguzi huru kuhusu vifo na...
1 Reactions
2 Replies
272 Views
Hii ni moja ya video na picha ambazo zimegusa mioyo ya watu wengi kwenye mitandao ya kijamii. Inaonyesha mama aliyeonekana kutabasamu huku akimwaga machozi wakati wa kumuaga mtoto wake aliyeuawa...
12 Reactions
23 Replies
964 Views
Hii imekuwa ndio gumzo kubwa sana leo hii
0 Reactions
4 Replies
255 Views
GT Mkiambiwa nchi inaongozwa na watu.wa hovyo ni kama hilo zee. Hili zee ni role model ya wabunge vijana huko linapaka superblack mvi zisionekane hovyo kabisa
1 Reactions
10 Replies
486 Views
Nimekutana na hii Video ya Mama mmoja akitoa heshima ya mwisho kwa mtoto wake MAMA Strong sana huyu, Imagine yupo kwenye Majonzi lakini anafurahi, MUNGU aendelee kumpa Nguvu huyu Mama Soma >...
2 Reactions
2 Replies
237 Views
Ndio unaweza kua uliotokea familia maskini lakini wewe sio balozi mzuri wa kuwasemea wananchi maskini. Ukiwa waziri wa...
5 Reactions
32 Replies
899 Views
WKumekuepo na hoja za Udini hizi ni hoja mfu ambao wanaozitumia ni wale walioishiwa hoja na uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho au hawajui wa nachokisema Binafsi mimi naamini MUNGU yuko lakini...
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameongea kwa uchungu ,hisia na utulivu mkubwa sana katika hotuba...
0 Reactions
22 Replies
615 Views
Unajua mauaji yaliyotokea katika ulimwengu wa roho yalipangwa? Muaji alishakubariana katika ulimwengu wa roho ili aweze kutoa kafara ya sadaka, kwa wanaotizama kwa jicho la tatu hilo wanalijua...
4 Reactions
3 Replies
330 Views
Mpo salama! Watu wengi wanaamini pesa inanguvu kila sehemu na kila wakati. Lakini Sisi wengine tunajua kuna wakati na sehemu pesa hushindwa na huwa kama makaratasi mengine. Round hii, Lisu...
19 Reactions
70 Replies
3K Views
Unamfahamu rais wa Botswana? Botswana ni nchi hii ilioko Kusini mwa Afrika, haina bandari na ina idadi ya watu zaidi ya milioni mbili unusu. Zaidi nchi ndiyo inazalisha almasi kwa wingi barani...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Akiwa anazungumza leo Dodoma Tanzania Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alisema "Rais Samia amejitambulisha kama Rais anayetaka matokeo ya haraka yanayotatua matatizo ya Watanzania"
-1 Reactions
4 Replies
211 Views
Simulizi ya mkesha wa Christmas 1986 Vijana watatu waliokuwa wanatoka kwenye mkesha walikutana na binti aliyekuwa anakimbia huku akiomba msaada Wakamsimamisha na kumhoji lakini mioyoni mwao wakiwa...
8 Reactions
19 Replies
948 Views
Kwa usomi, Tanzania tuko mbali. Rais daktari, makamu wa rais daktari, nusu na spika awe daktari. Sasa tunapambana na Kenya. Rais daktari, makamu wa rais profesa na waziri mkuu nnnh! Tulia...
1 Reactions
17 Replies
471 Views
Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu. Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala., Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais...
3 Reactions
24 Replies
766 Views
Mtu asifikiri kuwa watakaoenda mbinguni ni hao kwenye nyumba za ibada au hao wanaotoa sadaka nyingi lakini hawafanyi haki ni wezi na mbwa mwitu. Lakini wale waongozao wenzao kufanya haki hao ndio...
0 Reactions
3 Replies
193 Views
MHE. DKT MWIGULU APOKELEWA OFISI YA WAZIRI MKUU Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akipokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma...
0 Reactions
4 Replies
462 Views
Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni...
1 Reactions
0 Replies
213 Views
"Umepokea kijiti kutoka kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimwa Kassim Majaliwa ambaye amefanya kazi nzuri kufanikisha tunayotamba nayo leo, tukitamba na vituo vya shule, vituo vya afya, Mahospitali ya...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…