Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

PICHA HII ILIPGWA JANUARI MWAKA 2010. UNAIKUMBUKA...? Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya wakati huo akiwa Waziri wa...
20 Reactions
31 Replies
2K Views
GT Msitake kujua ni kwanini. Lakini siku mkifunguliwa macho kama mimi mtashangaa. Kutokana na hilo Tanzania ipo hatarini kuendelea kuwa maskini na kushindwa kupiga hatua kiuchumi. Kingine...
30 Reactions
64 Replies
2K Views
Mambo yaliyonichefua:- A. Kuunda wizara ya vijana. So what? B. Ataunda tume kuchunguza chanzo cha vurugu na maafa ya 29.10. Samia hajijui kuwa yeye ndiyo chanzo? C. Neno "demokrasia" linaweza...
6 Reactions
9 Replies
295 Views
Mwalimu wa masuala ya dini ya Kiislamu, Sheikh Hashim Rusaganya, amewajia juu viongozi wa dini nyingine kwa kutoa matamko kuhusu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan...
3 Reactions
239 Replies
5K Views
Napoongelea maridhiano kati ya Wananchi na Serikali naomba nieleweke kuwa, simaanishi aina Ile ya maridhiano kati ya CCM na ACT kule visiwani, Maridhiano nayoongelea Si yake ya Mh Mbowe na kinana...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii Ni aibu Huyu akifikisha kweli hata kula million 1? Hii Ni fedhea kwa Taifa
11 Reactions
29 Replies
739 Views
Aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa tamko lenye hisia kali akilaani vikali mauaji aliyoyaita “Mauaji ya Oktoba” yaliyotokea nchini Tanzania kutokana na Uchaguzi Mkuu...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari za humu, Kuna Jambo moja linashangaza sana, Hivi nini maana ya kiongozi? Bila shaka tunaelewa tofauti kati ya Boss/Mtawala na Kiongozi/Leader. Kiongozi ni yule aliyetoka miongoni mwa watu...
3 Reactions
1 Replies
140 Views
Tunatoa Wito kwa Chadema kurekebisha ratiba zao za Mikutano, na hasa ile inayoanza Asubuhi sana, ili kuondoa Taharuki. Hapa ni Lamadi, na huu ni Mkutano wa Mapema Asubuhi, ambako Wananchi...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimemsikiliza huyu Sheikh Jongo amesema wale walifanya ghasia wale wote wameshaushiwa kufanya hivyo na kuvunja miundombinu ya mwendokasi, wamepiga moto vituo vya mafuta visivyopungua 31...
1 Reactions
4 Replies
208 Views
Kwenye hotuba yake amesema kama taifa tunapenda tuheshimiwe kama sis tunavyoheshimu mataifa mengine, na katika kulinda maslai ya nchi hakuna mbadala ni lazima tuhakikishe tunalinda heshima, utu na...
2 Reactions
22 Replies
604 Views
Wakati kuna Kiongozi moja anasema kuwa yupo tayari kunyosha mkono wa maridhiano , lakini wakati huo huo anawazimia redio wengine wasisike na kuonyesha upande wa pili wa shillingi. Sasa mtu kama...
1 Reactions
1 Replies
125 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia Amewakosha na kuwafurahisha kwelikweli Watanzania. Amewapa Zawadi Ya kufungia Mwaka. Amewapa kile walichohitaji watanzania. Amekata kiu ya...
3 Reactions
61 Replies
1K Views
Zingatieni.. Kiiiniii... Yani kiinii Oya. Imeisha
1 Reactions
2 Replies
157 Views
Wakati nasikiliza Ile hotuba ya Mama Samia,Mwanzoni nilisikia akisema ameunda tume baadae ikaonekana itaundwa tena kwa masharti. Nisaidieni kujua kwa jinsi mlivyoelewa nyie. Hivi tumwite Rais au...
1 Reactions
18 Replies
412 Views
Wote tunajua kuwa Oct 29 hakukuwa na uchaguzi. Pamoja na kwamba alijitangaza kwa 98% hatupaswa kumuunga mkono wala kumtambua. Kujadili hotuba yake ni kumpa uhalali asiokuwa nao. Nafikiri wala...
1 Reactions
0 Replies
82 Views
Jioni hii ya leo tarehe 14.11.2025 nilikuwa nasikiliza redio one stereo waliokuwa wamejiunga na idhaa ya kiswahili BBC kwa matangazo yao ya jioni BBC wameruhusiwa kuelezea hotuba ya Rais na...
9 Reactions
10 Replies
445 Views
Marekan ni Ulaya ni Viongozi wa Dunia kiuchumi na itabaki hivo !!. RAIS kujifanya Et Tanzania inafanya vizuri kiuchumi kuliko Marekan na Ulaya ,HUO NI UONGOOOOOO MTUPU Kahamisha Uhusiano wake...
26 Reactions
145 Replies
5K Views
Unatoa hutuma na kuongelea maendeleo ya Watanzania ambao umemwaga damu zao,what a shame. Hivi huyu mama anajua mioyo ya Watanzania inavyolia machozi ya damu?. Wazazi kama yeye wamepoteza watoto...
3 Reactions
5 Replies
263 Views
Kila siku naandika humu, Uchaguzi wenu wa 2025 hautatambuliwa popote na Dunia ya Wamagharibi !!. Wachina ,Warusi, Wakorea, Iran wanaweza kutambua, ila na wao wanayoyapitia kutoka Kwa ULAYA NA...
18 Reactions
51 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…