Tume ya Usuluhishi imeshaundwa au Itaundwa?

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
820
Reaction score
2,097
Wakati nasikiliza Ile hotuba ya Mama Samia,Mwanzoni nilisikia akisema ameunda tume baadae ikaonekana itaundwa tena kwa masharti. Nisaidieni kujua kwa jinsi mlivyoelewa nyie.

Hivi tumwite Rais au Mama Samia tu inatosha?
 
Tume lazima ,iwe inakubalika na Jamii,shirikishi na yenye weledi ..nje ya hapo ni POROJO tu
 
Wakati nasikiliza Ile hotuba ya Mama Samia,Mwanzoni nilisikia akisema ameunda tume baadae ikaonekana itaundwa tena kwa masharti. Nisaidieni kujua kwa jinsi mlivyoelewa nyie.

Hivi tumwite Rais au Mama Samia tu inatosha?
Anatuona kama mat*ko ya Abdul mwanae
 
Atoke kwanza ikulu ndipo mambo mengine yafanyike
 
Iliiundwa tume alipouawa mzee Kibao. Mmepata majibu mpaka leo?. Iliundwa tume kuchunguza vifo kule rufiji, mmepata majibu mpaka leo?

Tume ni njia ya kupoza hasira na kufanya watu wasahau maisha yaendelee vile vile.
 
Imani yangu sii tu kupooza ila pia kutengeneza ulaji mpya,iwe kwa per diem,vikao vya kamati ama tume fursa mpya zinazalishwa na kuendelea kulinyonya taifa,na kinachohakikishwa ni kurefusha uhai wake,kwa manufaa ya tume na wenye manufaa na maamuzi ya tume husika!
 
Binafsi najionea mauza uza tu tangu kuapishwa. Ilikuwa ni vijana kutoka nchi jirani, mara hakuna mauaji ni AI, Kidogo tunasikia hao ni vibaka tuu, maheikh wanadai ni wakristo hao hawamtaki mama, hatujatulia tumasimama dk moja kuombea AI waliokufa,. Binafsi najionea tafrani tuu.
 
Wakati nasikiliza Ile hotuba ya Mama Samia,Mwanzoni nilisikia akisema ameunda tume baadae ikaonekana itaundwa tena kwa masharti. Nisaidieni kujua kwa jinsi mlivyoelewa nyie.

Hivi tumwite Rais au Mama Samia tu inatosha?
Mnataka kusuruhisha nini?
 
Hatuitaki
 
Muuaji anaunda tume ya kujichunguza! Tena muuaji anatoa msamaha badala ya kuomba apunguziwe adhabu, iwe kunyongwa tu badala ya kunyongwa hadi kufa!!
 
Mnataka kusuruhisha nini?
Hapa ninao uona ni rubuni ya wizara mpya kwa kakikundi kitakachoitwa wawakilishi wa Genz, kama uwakilishi hewa ili maisha yale yale ya mazoea yaendelee!Hili siliongei kwa bahati mbaya ila ndiyo njia ambayo taifa limekuwa likiifuata ama kwa kujua ama laakwakuwa wahuni ni wengi na wenye maslahi yao binafsi ni kama wote.Hivyo sioni nafasi ya raia wakawaida itapewa kipaumbele wapi?
 
Huyo Kibibi ni Mshenzi na Muuaji aliyeweka Rekodi yake ya kipekee.

Samuya ni Muongo mno.
Huyu mama ni muongo asiye na tone la Aibu.
 
Wakati nasikiliza Ile hotuba ya Mama Samia,Mwanzoni nilisikia akisema ameunda tume baadae ikaonekana itaundwa tena kwa masharti. Nisaidieni kujua kwa jinsi mlivyoelewa nyie.

Hivi tumwite Rais au Mama Samia tu inatosha?
UN wako njiani kutuma wachunguzi wao ... hatuitaki iyo tume ya ukanjanja ya wao kwa wao
 
Wakati nasikiliza Ile hotuba ya Mama Samia,Mwanzoni nilisikia akisema ameunda tume baadae ikaonekana itaundwa tena kwa masharti. Nisaidieni kujua kwa jinsi mlivyoelewa nyie.

Hivi tumwite Rais au Mama Samia tu inatosha?
Hakusoma sana aliishia form foo ila waliomzunhuka nao sijui n form foo yaanwanamchomesha sana wanadhindwa kumuandalia speech zake
 
Back
Top Bottom