Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wakuu, katika maandamano usisahau kubeba vitu hivi 1, maji na vyakula kama mikate kama ukiweza beba maji mengi kwenye hivi vimfuko vya kandoro ukawagawaia wenzako kwenye maandamano...
12 Reactions
63 Replies
1K Views
Wote tunafahamu maandamano ni haki ya kikatiba, ila kwa utawala huu, maandamano yamegeuka kuwa ni kosa la uhaini. Kwa msingi huo na nikirejea kesi ya Lissu kuhusu uhaini, Dr. Malisa ataepuka...
1 Reactions
4 Replies
235 Views
Huyu mzee pamoja na mapungufu yake yote akuuza rasilimli za nchi ili kuendesha miradi yake Aliweza...
2 Reactions
7 Replies
213 Views
π—₯π—˜π—–π—’π— π— π—˜π—‘π——π—˜π—— 𝗖𝗒π—₯π—˜ π——π—œπ—©π—œπ—¦π—œπ—’π—‘π—¦ 𝗙𝗒π—₯ π—§π—›π—˜ π—‘π—˜π—ͺπ—Ÿπ—¬ π— π—œπ—‘π—œπ—¦π—§π—₯𝗬 𝗒𝗙 𝗬𝗒𝗨𝗧𝗛 π—”π—™π—™π—”π—œπ—₯𝗦 𝗧𝗒 π—•π—˜ 𝗙𝗒π—₯π— π—˜π—— 𝗔𝗦 𝗣π—₯π—˜π—¦π—œπ——π—˜π—‘π—§ 𝗣π—₯π—’π— π—œπ—¦π—˜π——. 1) Division of Youth Development & Empowerment Core Mandate: Strengthening youth...
0 Reactions
3 Replies
383 Views
Je alichoimba Mchungaji Abiiud kwenye wimbo huu ndo kinatimia?
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana Niende...
1 Reactions
19 Replies
463 Views
- Asema Msimamo wa BAKWATA si wa waislamu wote - Pamoja na mambo mengine, Sheikh Ponda ameshangazwa na Rais kuipongeza Tume ya Uchaguzi kwa uchaguzi ulioonekana wazi haukuwa huru wala wa haki. -...
11 Reactions
23 Replies
988 Views
Unajua kuna watu duniani naweza kuwafananisha na kiungo kinachopendwa sana kwenye chakula kitamu japo kina mateso na kukuacha na vidonda vya tumbo mda mwengine ni pilipili. Utawala wa Magufuli...
22 Reactions
51 Replies
2K Views
Taarifa za ndani kutoka jeshi la polisi, ni kwamba zaidi ya polisi 100 wameomba kuacha kazi ya Upolis with immediate effect. Shida kubwa ni walichokiona tarehe 29/10/2025 na hofu ya maandamano ya...
24 Reactions
44 Replies
2K Views
KIFO NI KIFO TU. psychopath/ sadist
2 Reactions
5 Replies
248 Views
je, waziri mkuu haramu anajikomba kijifanya anatembelea hospital kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi. Mimi nafikiri huu ndio mwisho wake hawezi kutembelea wananchi uso kwa uso nchi...
2 Reactions
7 Replies
305 Views
Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi. Maandamano yasiyo na ajenda...
-2 Reactions
42 Replies
925 Views
Wanabodi Huu ni uzi wa swali, hawa watu haswa humu mitandaoni, ambao hawakubaliani na uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM kuwapitisha Rais Samia na rais Mwinyi kuwa wagombea wa urais wa CCM kwa...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Mnaweza mkabeza na kuchukulia Rahisi ila nawaambieni mbegu hii tunaipanda itaota vizuri sana kwa watoto wetu! mbele huko ni kugumu sana! tunaleta mizaha kuchezea dola na mahakama! huko mbele kuna...
2 Reactions
5 Replies
367 Views
Wakuu, habari za Jumapili! Tumepata video na picha zinazohusishwa na akaunti ya TikTok, ambazo zinaashiria kwa asilimia kubwa kuwa mtu aliyehusika na mauaji. Katika picha tatu zilizopatikana...
3 Reactions
16 Replies
837 Views
Mababa Askofu wamewaongoza waumini kusali Novena. Kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie amani na haki katika uchaguzi. Lakini Jambo Moja naomba kuwauliza mababa Askofu. Je 1. Uchaguzi wa October...
3 Reactions
14 Replies
591 Views
Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho. Makonda amemtaka waziri wa Ardhi...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Matukio ya Kihistoria Ambayo Kanisa au Wakatoliki Walihusishwa na Ghasia na Mauaji (A) Mauaji ya Kimbari Rwanda – 1994 Hili ndilo tukio la hivi karibuni lenye uzito mkubwa sana. Ingawa mauaji ya...
2 Reactions
76 Replies
1K Views
Huyu kamuona ndugu yake video ya Mwananyamala watu mioyo ina ganz na uchungu mkali.
3 Reactions
5 Replies
275 Views
Katika nafasi ya uchawa hili kundi haliwezi kukosa top 3 Nyerere pamoja na madhaofu yake alilitendea haki taifa kwa kuwavua mamlaka hili kundi.
2 Reactions
0 Replies
144 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…